Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile
Kigogo Media

@kigogo2014

Official X handle of Kigogo Media I The uncensored,unfiltered and unbiased online news in East Africa I Email: [email protected]

ID: 2430656918

linkhttp://kigogomedia.com calendar_today06-04-2014 15:54:26

218,218K Tweet

1,4M Followers

883 Following

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

(✍🏻 na mwandishi wetu wa Dodoma) SERIKALI KUWALINDA  WANANCHI DHIDI YA WANYAMAPORI WAKALI Serikali itaendelea kuweka  mikakati madhubuti za kuwalinda wananchi dhidi ya wanyamapori wakali na waharibifu hususan tembo huku akisisitiza kuwa  ni wajibu Serikali kuhakikisha usalama

(✍🏻 na mwandishi wetu wa Dodoma) 

SERIKALI KUWALINDA  WANANCHI DHIDI YA WANYAMAPORI WAKALI

Serikali itaendelea kuweka  mikakati madhubuti za kuwalinda wananchi dhidi ya wanyamapori wakali na waharibifu hususan tembo huku akisisitiza kuwa  ni wajibu Serikali kuhakikisha usalama
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

(✍🏻 na mwandishi wetu) NENDENI MKAWE MABALOZI WAZURI WA AMANI - MHE. MAKONGORO. Mhe. Makongoro Nyerere amewataka wahitimu wa mafunzo ya awali ya kijeshi katika kambi ya mafunzo ya JKT Luwa iliyoko mkoani Rukwa kuzingatia umuhimu wa kuwa  mabalozi wazuri wa amani. Mhe.

(✍🏻 na mwandishi wetu) 

NENDENI MKAWE  MABALOZI WAZURI WA AMANI - MHE. MAKONGORO.

Mhe. Makongoro Nyerere amewataka wahitimu wa mafunzo ya awali ya kijeshi katika kambi ya mafunzo ya JKT Luwa iliyoko mkoani Rukwa kuzingatia umuhimu wa kuwa  mabalozi wazuri wa amani.

Mhe.
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

(✍🏻 na mwandishi wetu) MGOGORO WA WANANCHI KUGOMEA KUANDIKISHWA KUPIGA KURA WAMALIZWA KWA MKUU WA MKOA KUAMURU MAGAMBO AONDOKE Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe.Evans Alfred Mtambi amefanya mkutano na wananchi wa kijiji cha Mikomaliro katika wilaya ya Bunda na kusikiliza kero zao na

(✍🏻 na mwandishi wetu) 

MGOGORO WA WANANCHI KUGOMEA KUANDIKISHWA KUPIGA KURA WAMALIZWA KWA MKUU WA MKOA KUAMURU MAGAMBO AONDOKE 

Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe.Evans Alfred Mtambi amefanya mkutano na wananchi wa kijiji cha Mikomaliro katika wilaya ya Bunda na kusikiliza kero zao na
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

(✍🏻 na mwandishi wetu wa Mwanza) MHE.MTANDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI KUTOKA JIMBO LA HENAN - CHINA Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Gavana kutoka Jimbo la Henan kutoka nchini China Mhe. Liu Yujiang na kusema

(✍🏻 na mwandishi wetu wa Mwanza) 

MHE.MTANDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI KUTOKA JIMBO LA HENAN -  CHINA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza  Mhe. Said Mtanda amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Gavana kutoka Jimbo la Henan kutoka nchini China Mhe. Liu Yujiang na kusema
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

(✍🏻 na mwandishi wetu) MBUNGE WA KITETTO AMSHUKURU RAIS SAMIA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO KITETO Mbunge wa Jimbo la Kiteto MHE. Edward Ole Lekaita amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi anayoifanya ya kuhakikisha maendeleo

(✍🏻 na mwandishi wetu) 

MBUNGE WA KITETTO AMSHUKURU  RAIS SAMIA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO KITETO

Mbunge wa Jimbo la Kiteto MHE. Edward Ole Lekaita amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi anayoifanya ya kuhakikisha maendeleo
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

(✍🏻 na mwandishi wetu) WAWEZESHENI WANAOJITOLEA KWENYE HALMASHAURI ZENU - MHE. NYAMOGA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI ikiongozwa na mwenyekiti wake Mhe. Justine Nyamoga imezitaka halmashauri zote nchini kufanya tathimini na

(✍🏻 na mwandishi wetu)

WAWEZESHENI  WANAOJITOLEA  KWENYE HALMASHAURI ZENU - MHE. NYAMOGA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI ikiongozwa na mwenyekiti wake Mhe. Justine Nyamoga imezitaka halmashauri zote nchini kufanya tathimini na
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

😁 pole sana kaka najua maumivu yako lakini huo ndiyo uhuru wa kujieleza tunaopigania na kila mtu ana uhuru wa kusema mawazo yake.. Kwa hioyo ni kuvumiliana tu ili kutopata mental health na mental stress

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

ANGALIZO 🔴 Ni vizuri na kuona ufahari sana unaposifiwa na kuonekana shujaa kwa kudhani harakati ni matusi au kujibishana na viongozi wa nchi kwa kuwatusi ukidhani wewe ndiyo wa kwanza kutokea Tanzania na kuwa na uchungu na nchi hii. 🔴 Unaweza kujiona mjanja sana kwa kuwa tu

WizarayaMamboyaNdani (@wizaramnn) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akishiriki mazishi ya Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo,Marehemu Ali Mohamed Kibao aliyetekwa na kukutwa ameuawa siku chache zilizopita ambapo mazishi yake yamefanyika leo jijini Tanga.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akishiriki mazishi ya Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo,Marehemu Ali Mohamed Kibao aliyetekwa na kukutwa ameuawa siku chache zilizopita ambapo mazishi yake yamefanyika leo jijini Tanga.
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Kasema watoto wake na mke wake wako Canada! Kanifikirisha sana sana kwa kauli hii.. Sijui alikuwa anataka kusema nini lakini ni kauli moja ya hovyo sana!

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Kwani Masauni gani walisema kondoka kwenye msiba na kabadili namba za gari? Huyu ni nani? Hapa si makaburini na ameshiriki kuzika ? Ila haya mambo haya.