Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profileg
Think Different

@lifeofmshaba

#ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |

ID:253815675

linkhttps://forms.gle/1JbJ9n38cpsSu5UM7 calendar_today18-02-2011 01:07:14

198,0K Tweets

419,6K Followers

3,0K Following

Follow People
Happiness Peter(@Happine61746941) 's Twitter Profile Photo

Mwananchi Newspapers MNYIKA John John Liberatus Mwang'ombe Think Different Maria Sarungi Tsehai With all due respect, this task force is just another mouth piece of the ruling party. Constitutional reforms must go simultaneously with all other proposed agendas. In fact constitutional reforms should precede all others.

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

- makers πŸ’ͺ🏽
Guess niko na akina nani? πŸ˜ƒ
Sijui wangapi mtapatia (hakuna kudesa) πŸ˜‚πŸ˜‚

Another in the making - subira yavuta kheri - chakula kiko jikoni

#Goodtrouble - makers πŸ’ͺ🏽 Guess niko na akina nani? πŸ˜ƒ Sijui wangapi mtapatia (hakuna kudesa) πŸ˜‚πŸ˜‚ Another #GoodTrouble in the making - subira yavuta kheri - chakula kiko jikoni #KatibaMpya #TutaelewanaTu #WenyeNchiWananchi
account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Wazungu wanafanya camping ku enjoy life

Lakini Tanzania maisha ya camping ni every day

β€” Maji hakuna
β€” Umeme hakuna
β€” nyumba za vibanda

account_circle
MwanzoTV(@MwanzoTv) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Garissa mjini Aden Duale, seneta wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen na mbunge wa kandara Alice Wahome wameaga bunge huku wakijiandaa kujiunga na baraza la mawaziri la rais William Ruto.

Tazama: youtube.com/watch?v=p2wAhb…

Mbunge wa Garissa mjini Aden Duale, seneta wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen na mbunge wa kandara Alice Wahome wameaga bunge huku wakijiandaa kujiunga na baraza la mawaziri la rais William Ruto. Tazama: youtube.com/watch?v=p2wAhb…
account_circle
MwanzoTV(@MwanzoTv) 's Twitter Profile Photo

Rais William Ruto amewateuwa mawaziri 24 walioidhinishwa na bunge la kitaifa leo hii baada yao kuidhinishwa na kamati ya uteuzi, katika notisi ya gazeti iliyotolewa saa chache baada ya bunge la kitaifa kuidhinisha majina hayo.

Tazama: youtube.com/watch?v=p2wAhb…

Rais William Ruto amewateuwa mawaziri 24 walioidhinishwa na bunge la kitaifa leo hii baada yao kuidhinishwa na kamati ya uteuzi, katika notisi ya gazeti iliyotolewa saa chache baada ya bunge la kitaifa kuidhinisha majina hayo. Tazama: youtube.com/watch?v=p2wAhb…
account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Maji Mhe. juma aweso njoo uwaeleze wananchi wa Mwanza kwa nini wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa maji. Kwa nini maeneo ambayo ni kilometa 0 kuto ziwa Viktoria wanateseka kwa kukosa maji. Why Nyamagana, Ilemela, Magu walio karibu na maji wateseke kwa mgao wa maji????

Waziri wa Maji Mhe. @jumaaweso1 njoo uwaeleze wananchi wa Mwanza kwa nini wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa maji. Kwa nini maeneo ambayo ni kilometa 0 kuto ziwa Viktoria wanateseka kwa kukosa maji. Why Nyamagana, Ilemela, Magu walio karibu na maji wateseke kwa mgao wa maji????
account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Nyumba 5000 kwa bilion 500 nyumba moja sana na 100m

Viwanja ni vya bure na ni cheap house

Uoni kuna usanii hapo? Nyumba ya vyumba viwili nyumba moja kwa Milion 100 tena mikoani kwa wajenzi wa ndani ?!

Mama amepigwa parefu

account_circle
Phillip Magai aka unfollow1884(@philip_magai) 's Twitter Profile Photo

Think Different NSSF Tanzania Hawa watu hakuna Jambo wanaweza fanya perfect. Never Ever mfano nenda kwenye vitambulisho vya Taifa. Je kila anayestahili kupata NIDA amepata? Hata Namba ya kitambulisho tu kupata ni taabu.

account_circle
Peace MakerπŸ‡ΏπŸ‡¦(@PeaceMa05052175) 's Twitter Profile Photo

Think Different Hawa ndugu zetu sijui tuwape jina gani ili wapate uchungu waache huu ujinga.Ubongo umehamia tumboni, halafu choo kubwa ipo kichwani.

account_circle