MAHIMELA(@Mahimela) 's Twitter Profileg
MAHIMELA

@Mahimela

MarineScientist//ClimateChangeAnalyst//
Karibu SHINYANGA

ID:1480278269979246609

calendar_today09-01-2022 20:40:33

10,3K Tweets

1,4K Followers

329 Following

Follow People
MAHIMELA(@Mahimela) 's Twitter Profile Photo

Wazee wawili huko ughaibuni baada ya kustaafu wakaamua kutumia 180,000$ kulibadilisha semi trela kuwa nyumba inayotembea yenye kila kitu ndani yake na kuishi humo😂😂

Wazee wawili huko ughaibuni baada ya kustaafu wakaamua kutumia 180,000$ kulibadilisha semi trela kuwa nyumba inayotembea yenye kila kitu ndani yake na kuishi humo😂😂
account_circle
MAHIMELA(@Mahimela) 's Twitter Profile Photo

Sad😥
Hivi karibuni huko fukwe za Hawaii marekani nyangumi mdogo amekutwa amekufa na alipochunguzwa na MS tumboni mwake akakutwa na
-uchafu wa plastic
-nyenzo za uvuvi kama vile hagfish traps(6), aina 7 za neti za uvuvi,mabegi 2 ya plastic, tochi na mishipi 6

#MarineAdventures Sad😥 Hivi karibuni huko fukwe za Hawaii marekani nyangumi mdogo amekutwa amekufa na alipochunguzwa na MS tumboni mwake akakutwa na -uchafu wa plastic -nyenzo za uvuvi kama vile hagfish traps(6), aina 7 za neti za uvuvi,mabegi 2 ya plastic, tochi na mishipi 6
account_circle
MAHIMELA(@Mahimela) 's Twitter Profile Photo


Duniani kati ya sehemu hatari kuwahi kutokea ni HAWAII yenye milima volcano hai chini ya bahari ambayo hutoa milipuko na kuua viumbe wengi wa baharini kuzunguka maeneo hayo
Na hii ni sababu mojawapo ya asili inayosababisha mabadiliko ya tabia ya nchi

#MarineAdventures Duniani kati ya sehemu hatari kuwahi kutokea ni HAWAII yenye milima volcano hai chini ya bahari ambayo hutoa milipuko na kuua viumbe wengi wa baharini kuzunguka maeneo hayo Na hii ni sababu mojawapo ya asili inayosababisha mabadiliko ya tabia ya nchi
account_circle
MAHIMELA(@Mahimela) 's Twitter Profile Photo


Anaitwa SamakiMsumeno mwenye mdomo kama msumeno ambapo huzaliana kwa namna tofauti(ovoviviparous)ambaye hatagi kama samaki wengine ila huzaa. Mtoto wa samaki huyu hua kuna fuko linalofunika mdomo wake ili kutodhuru tumbo na mwili wa mama yake wakati wa kuzaliwa

#MarineAdventures Anaitwa SamakiMsumeno mwenye mdomo kama msumeno ambapo huzaliana kwa namna tofauti(ovoviviparous)ambaye hatagi kama samaki wengine ila huzaa. Mtoto wa samaki huyu hua kuna fuko linalofunika mdomo wake ili kutodhuru tumbo na mwili wa mama yake wakati wa kuzaliwa
account_circle
WizestFool™️(@WizestFool) 's Twitter Profile Photo

“Change the changeable, accept the unchangeable, and remove yourself from the unacceptable.”
GOOD MORNING PEOPLE‼️

account_circle
MARITA 🍫🍷(@urbanvintagedsm) 's Twitter Profile Photo

Kuna feeling ya ushindi ukiongea na Mungu asubuhi kabla hujaanza shughuli zako za siku.

Usiache kumtanguliza Mungu siku zote za maisha yako.

Gm Fam❤️

account_circle
𝐆𝐄𝐍𝐓𝐋𝐄(@gentlebrother_) 's Twitter Profile Photo

Usisahau kumshukuru Mungu kila siku hata kama unapita kwenye nyakati ngumu au unapitia maisha ambayo huyapendi, kumbuka hata kuishi tu ni zaidi ya baraka 🙏🏽

account_circle