mangi_da_great (@mangi_masawe) 's Twitter Profile
mangi_da_great

@mangi_masawe

Corgito ergo Sum

ID: 816279141406441472

calendar_today03-01-2017 13:44:47

73 Tweet

32 Followers

404 Following

Simba Madevu (@lliosimba) 's Twitter Profile Photo

Patrick Ole Sosopi Dr John Magufuli Acha kupotosha hotuba ya rais.Rais alichosema ni kufikiri ama kuna wanaoweza kuwa wanafanya criminal kwa kutumwa, au kwamba hawana uwezo kasema wanao kwasababu wamefanya uchunguzi mwingi,ama yawezekana vipimo haviko sawa ndo maana akashauri WHO waangalie zaidi. Acha siasa uchwara

Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

“Tunaweza tukaja na zoezi jipya  la uhakiki wa watu waliojisajili kwa alama za vidole ili kuhakikisha  wote wenye kadi za simu wamesajiliwa na tunaweza kuweka mifumo ya kuweza kuwabaini."- Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile