Martin N Ng'ondya (@martinnngondya1) 's Twitter Profile
Martin N Ng'ondya

@martinnngondya1

Medical Laboratory Student @Muhimbiliuniver.

Shabiki Wa Simba 🦁& Manchester City 🌧️.

ID: 1536611304567455744

calendar_today14-06-2022 07:27:58

6,6K Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

Jackson Ilangali (@ilangalijackson) 's Twitter Profile Photo

Jifunze na umaster skills za data analysis. Hakikisha unajua kutumia hizi common statistical packages (STATA, SPSS), pia jifunze na qualitative analysis (ujue kutumia Nvivo). Halafu uijue na excel (just basics). Baada ya hapo, unaweza kuanza kwa kuwasaidia wanafunzi wa chuo

Ramadhani Hamisi (@hamisi432) 's Twitter Profile Photo

Jiunge na Darasa la Mtandaoni la Uandishi! Klabu ya Afya ya UDOM inakualika kushiriki kwenye darasa maalum la mtandaoni la uandishi. Jisajili sasa kupitia kiungo hapo chini ili kuhifadhi nafasi yako! forms.gle/Fhj2MtbthAhyTJ… Kwa maelezo zaidi: [email protected]

Jiunge na Darasa la Mtandaoni la Uandishi!
Klabu ya Afya ya UDOM inakualika kushiriki kwenye darasa maalum la mtandaoni la uandishi.
Jisajili sasa kupitia kiungo hapo chini ili kuhifadhi nafasi yako!
forms.gle/Fhj2MtbthAhyTJ…

Kwa maelezo zaidi: udomhealthclub21@gmail.com
Dr. Ellen M.Senkoro (@senkorodr) 's Twitter Profile Photo

Leo nimefarajika kupata muda wa kuonana na kubadilishana maoni na Mheshimiwa Waziri wetu wa Afya- Mhe.Jenista Mhagama akiwa ofisini kwake Dodoma. Tumejadiliana maeneo kadhaa ya kupata matokeo ya haraka na pia makubwa kwenye maendeleo ya kisekta, kwa ushirikiano wa wadau

Leo nimefarajika kupata muda wa kuonana na kubadilishana maoni na Mheshimiwa Waziri wetu wa Afya- Mhe.Jenista Mhagama akiwa ofisini kwake Dodoma. Tumejadiliana maeneo kadhaa ya kupata matokeo ya haraka na pia makubwa kwenye maendeleo ya kisekta, kwa ushirikiano wa wadau
Tonny (@_t0nnie) 's Twitter Profile Photo

Bado tuko mwezi September na bado wiki ya mwanzo. Tunaendelea kupeana dondoo za saratani za watoto. Je wafahamu matibabu haya hupatikana katika hospital zetu zote za kanda? Benjamini, Muhimbili, Kcmc, Bugando… Akitambulika na dalili za saratani muwahishe mapemaπŸ‘Š

Bado tuko mwezi September na bado wiki ya mwanzo. Tunaendelea kupeana dondoo za saratani za watoto. Je wafahamu matibabu haya hupatikana katika hospital zetu zote za kanda? Benjamini, Muhimbili, Kcmc, Bugando… Akitambulika na dalili za saratani muwahishe mapemaπŸ‘Š
Dr. Frank E. Arabi (@drarabifrank) 's Twitter Profile Photo

Nimeona video mtu ameng'atwa na nyuki wengi. Hiki kitabu by Prof. Hendry Sawe kinapaswa kusomwa na kila daktari nchini, ili tujue namna ya kuhudumia wagonjwa wa aina hii. PS: Kaka John Bill hiki kitabu nilichukua kwako kipindi kile naishi kwako pale kariakoo. 1/2

Nimeona video mtu ameng'atwa na nyuki wengi. 

Hiki kitabu by Prof. Hendry Sawe kinapaswa kusomwa na kila daktari nchini, ili tujue namna ya kuhudumia wagonjwa wa aina hii. 

PS: Kaka <a href="/JohnBill_255/">John Bill</a>  hiki kitabu nilichukua kwako kipindi kile naishi kwako pale kariakoo. 1/2
Ntuli Kapologwe (@tuserod) 's Twitter Profile Photo

Excited to discuss with H.E. Hon. Dr. Jakaya Kikwete, the fourth President of the United Republic of Tanzania, the release of two new books on primary health care.Jakaya Kikwete

Excited to discuss with H.E. Hon. Dr. Jakaya Kikwete, the fourth President of the United Republic of Tanzania, the release of two new books on primary health care.<a href="/jmkikwete/">Jakaya Kikwete</a>
Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Mimi sio Mtabiri ila hizi Anonymous sijui ipo siku tutachangishana humu kisa Mtu kapigwa kesi ya DEFAMATION πŸ˜€! Wana hamjuagi tu impacts ya hizi kitu mnazoleta kwa point ya utani. Mimi juzi kati ngoma mpaka ofisini ikafika na Maskani pia, uzuri kote kote walielewa, nawaza sasa

Mansours’ πŸ€ŽπŸ‡΅πŸ‡ΈπŸ‡°πŸ‡ͺ (@waizeresya) 's Twitter Profile Photo

Tumefunga michango rasmi. Asanteni sana kwa nyote mliojitolea pale mlipoweza. Tunaanza mchakato wa kuagiza kiti na dada Bijoux Trendy na kupeleka uniforms. Nitaendela kutoa updates wa kila hatua. Tuendelee na moyo huu huuβ€οΈπŸ™πŸ½

Tumefunga michango rasmi. Asanteni sana kwa nyote mliojitolea pale mlipoweza. Tunaanza mchakato wa kuagiza kiti na dada <a href="/bijou_ms/">Bijoux Trendy</a> na kupeleka uniforms. Nitaendela kutoa updates wa kila hatua. Tuendelee na moyo huu huuβ€οΈπŸ™πŸ½
Victoria C Mwanziva (@victoriacharlz) 's Twitter Profile Photo

Ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka kubwa ya kuweza rasmi kukabidhi Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ludewa leo hii September 7- 2024; kwa Mheshimiwa Olivanus Thomas ambaye ameapishwa jana na rasmi kuingia kwenye huduma hapa Wilayani Ludewa. Ninamtakia mafanikio- baraka, utumishi

Ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka kubwa ya kuweza rasmi kukabidhi Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ludewa leo hii September 7- 2024; kwa Mheshimiwa Olivanus Thomas ambaye ameapishwa jana na rasmi kuingia kwenye huduma hapa Wilayani Ludewa.
Ninamtakia mafanikio- baraka, utumishi