millardayo
@millardayo
Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]
ID:132880407
http://www.millardayo.com 14-04-2010 12:30:30
145,1K Tweets
2,7M Followers
488 Following
Follow People
Mwili wa Mtangazaji Mkongwe wa CloudsFM Gardner G Habash umepumzishwa Kijijini kwao Kikelelwa, Kata ya Tarakea Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro leo April 23,2024
#MillardAyoUPDATES
Mchezo wa JKT Tanzania dhidi ya Yanga SC uliyokuwa uchezwe saa 16:00 leo katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo leo Mbweni Jijini Dar es Salaam umeahirishwa kutokana na uwanja kujaa maji.
#MillardAyoSPORTS
Mwili wa Mtangazaji Mkongwe wa CloudsFM Gardner G Habash umeagwa Kijijini kwao Kikelelwa, Kata ya Tarakea Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro tayari kwa maandalizi ya kupumzishwa Kijijini hapo leo April 23,2024
#MillardAyoUPDATES
Mwili wa Mtangazaji Mkongwe wa CloudsFM Gardner G Habash tayari umefikishwa Kijijini kwao Kikelelwa, Kata ya Tarakea Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro ambako Gardner anatarajia kupumzishwa leo April 23,2024
#MillardAyoUPDATES
Video nzima ya Baba Mzazi wa Gardner G. Habash akiongea na millardayo unaweza kuitazama hapa youtu.be/N02pyt2gcXI?si…
Hivi ndivyo hali ilivyo Jangwani usiku huu baada ya mvua kubwa kunyesha leo, maji yamejaa barabarani na kusababisha foleni kubwa huku baadhi ya Watu wakishuka kwenye daladala na kuamua kutembea kwa miguu.
#MillardAyoUPDATES