millardayo(@millardayo) 's Twitter Profileg
millardayo

@millardayo

Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]

ID:132880407

linkhttp://www.millardayo.com calendar_today14-04-2010 12:30:30

145,5K Tweets

2,7M Followers

489 Following

Follow People
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali leo May 29,2024 ambapo amemteua Dkt. Mursali Ally Milanzi kuwa Naibu Katibu Mtendaji, Tume ya Mipango anayeshughulikia masuala ya Mipango ya Kitaifa ambapo kabla ya uteuzi huu Dkt. Milanzi alikuwa

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

: Hivi ndivyo Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu Sugu alivyotangazwa Mshindi kwenye uchaguzi wa kumtafuta Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ambapo amemuangusha aliyekuwa anatetea kiti hicho, Mchungaji Peter Msigwa.

Matokeo ya uchaguzi huo

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu Sugu ametangazwa Mshindi kwenye uchaguzi wa kumtafuta Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ambapo amemuangusha aliyekuwa anatetea kiti hicho, Mchungaji Peter Msigwa.

Matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika leo May 29,2024

Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu Sugu ametangazwa Mshindi kwenye uchaguzi wa kumtafuta Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ambapo amemuangusha aliyekuwa anatetea kiti hicho, Mchungaji Peter Msigwa. Matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika leo May 29,2024
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito na kuwakaribisha Wafanyabiashara kutoka Ufaransa kuangalia fursa kuwekeza Zanzibar katika maeneo mbalimbali.

Rais Dk.Mwinyi amesema hayo alipofungua mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito na kuwakaribisha Wafanyabiashara kutoka Ufaransa kuangalia fursa kuwekeza Zanzibar katika maeneo mbalimbali. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo alipofungua mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo May 29, 2024.

#PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo May 29, 2024. #MillardAyoUPDATES
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi amewataka Watanzania kuwakataa Watu wanaotaka kuligawa Taifa kwa misingi ya Ukabila, Udini au Ukanda ikiwemo wanaojaribu kuutikisa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika.

Akiongea Mkoani Singida leo May 29,2024, Nchimbi amesema โ€œMmesikia baadhi

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Msanii Steve Mengele leo akiwa na baadhi ya Wasanii wa filamu amezungumza na Waandishi wa Habari akimshukuru Rais Samia kwa mchango wake katika sanaa na kuonesha nia ya kuendelea kuikuza kwa kuanza kusafiri na Wasanii katika safari zake mbalimbali nje ya Nchi.

Steve na wenzake

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara katika Jamhuri ya Korea kuanzia May 30, 2024 hadi June 06, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Korea Yoon Suk Yeol.

Akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam leo May 29, 2024, Waziri wa Mambo ya

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara katika Jamhuri ya Korea kuanzia May 30, 2024 hadi June 06, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Korea Yoon Suk Yeol. Akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam leo May 29, 2024, Waziri wa Mambo ya
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Dkt. Balozi Asha-Rose Migiro kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma May 29, 2024.

Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa

#PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Dkt. Balozi Asha-Rose Migiro kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma May 29, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo May 29, 2024.

Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa

#PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo May 29, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Prof. Kitila Alexander Mkumbo kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma May 29, 2024.

Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa

#PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Prof. Kitila Alexander Mkumbo kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma May 29, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kwa ujumla uharibifu uliosababishwa na Kimbuga Hidaya na mvua za El -Nino katika barabara ya Mtwara โ€“ Lindi โ€“ Dar es salaam ni mkubwa na hivyo barabara yote inatakiwa kujengwa upya ambapo kwa kuanzia tayari manunuzi kwa ajili ya

Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa unafanyika leo May 29,2024 katika Mji wa Makambako Mkoa wa Njombe ambapo Vigogo wawili wanachuana kupata Uenyekiti wa Kanda hiyo ambao ni Joseph Mbilinyi (SUGU) na Mchungaji Peter Msigwa anayetetea kiti chake.

@AyoTV_ imeweka kambi

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Tanzania imeshinda tuzo ya Jumuiya ya Habari Duniani ya Mwaka 2024 (WSIS 2024) nchini Uswisi iliyokabidhiwa kwa Rais wa Internet Society Tanzania, Nazar Nicholas na Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Dunia (ITU) Doreen Bogdan-Martin mbele ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa ujenzi wa Daraja la Jangwani hivi karibuni.

Bashungwa ameyasema hayo Bungeni Jijini Dodoma leo May 29,2024 wakati wa kuwasilisha

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa ujenzi wa Daraja la Jangwani hivi karibuni. Bashungwa ameyasema hayo Bungeni Jijini Dodoma leo May 29,2024 wakati wa kuwasilisha
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilipoingia madarakani March, 2021, mtandao wa barabara za lami ulikuwa kilometa 10,830.2 lakini hadi hadi kufikia March, 2024, mtandao wa barabara za lami

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema katika mwaka wa fedha 2023/24 TBA iliingia na deni lenye jumla ya Tsh. bilioni 14.35 ambapo kutokana na jitihada kubwa zilizofanywa na Wizara kupitia TBA katika kipindi tajwa, TBA imefanikiwa kukusanya jumla ya Tsh. bilioni 4.3, hii

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamilaย , amefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu kwa kutumia Ndege ya TANAPA kukagua maeneo mbalimbali ya Mto msimbazi, Mlalakuwa, Nyakasangwa, Tegeta, Mpiji n.k kujionea athari zilizosababishwa na mvua zilizokuwa zikinyesha Jijini Dar es

account_circle