Mkushi (@mkushiiii) 's Twitter Profile
Mkushi

@mkushiiii

Mungu + Heshima + Juhudi ๐Ÿ˜‡โค๏ธ๐Ÿฆ…

ID: 1445696652002484234

calendar_today06-10-2021 10:25:52

232,232K Tweet

29,29K Followers

1,1K Following

Mondinho77 (@mondinho77) 's Twitter Profile Photo

๐Ž๐‘๐ˆ๐†๐ˆ๐๐€L ๐’๐€๐๐ƒ๐€๐‹๐’ ๐’๐ˆ๐™E: 39/๐Ÿ’๐Ÿ“ ๐๐‘๐ˆ๐‚๐„: 65,000/= DELIVERY YES I DO DM Mondinho77 Call. 0626560477 *BEST QUALITY EVER*

๐Ž๐‘๐ˆ๐†๐ˆ๐๐€L ๐’๐€๐๐ƒ๐€๐‹๐’  
๐’๐ˆ๐™E: 39/๐Ÿ’๐Ÿ“
๐๐‘๐ˆ๐‚๐„: 65,000/= 
DELIVERY YES I DO
DM <a href="/Mondinho77/">Mondinho77</a>
Call. 0626560477

*BEST QUALITY EVER*
Sylor (@beki_mfungaji) 's Twitter Profile Photo

Mguu wa kutoka ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Size 40 - 44 Bei 60k tu WhatsApp au piga simu 0682946668 Tunapatikana Dar Tunafanya delivery Tunatuma mikoa yote

Mguu wa kutoka ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Size 40 - 44
Bei 60k tu
WhatsApp au piga simu 0682946668
Tunapatikana Dar 
Tunafanya delivery 
Tunatuma mikoa yote
DOCHA ๎จ€ (@alugandu) 's Twitter Profile Photo

MBUNGI LA KUFUZU AFCON 2025๐Ÿ…๐Ÿ†โšฝ๏ธ ๐Ÿ“Niger ๐Ÿ†š Ghana โฐ Saa 1:00 Usiku ๐Ÿ“บ Kifurushi Cha POA Je Nani Kushinda Mechi Hii..!? Basi Usikose Kutazama Mtanange Huu Ndani Ya DStv (TZ) Kwa Buku 10 Tu..! Piga๐Ÿ“ฒ *150*53# Kulipia Kifurushi Chako Sasa.! #MbungiBampa2Bampa | #MfalmeWaBoma

MBUNGI LA KUFUZU AFCON 2025๐Ÿ…๐Ÿ†โšฝ๏ธ

๐Ÿ“Niger  ๐Ÿ†š Ghana
โฐ Saa 1:00 Usiku
๐Ÿ“บ Kifurushi Cha POA

Je Nani Kushinda Mechi Hii..!? Basi Usikose Kutazama Mtanange Huu Ndani Ya <a href="/DStv_Tz/">DStv (TZ)</a> Kwa Buku 10 Tu..!

Piga๐Ÿ“ฒ *150*53# Kulipia Kifurushi Chako Sasa.!

#MbungiBampa2Bampa | #MfalmeWaBoma
ELON (@john__himself) 's Twitter Profile Photo

Ukishajua jamii inakutazama kwa jicho la uongozi basi kua makini na taarifa zako unazotoa kwao kama huna uhakika nyamaza kuficha aibu za ukoo wako. Na kukosea ni mara moja sio kila siku

Sylor (@beki_mfungaji) 's Twitter Profile Photo

Coat heavy material๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Bei 30k tu Size XL-2XL WhatsApp au piga simu 0682946668 Tunapatikana Dar Tunafanya delivery Tunatuma mikoa yote

Coat heavy material๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Bei 30k tu
Size XL-2XL 
WhatsApp au piga simu 0682946668
Tunapatikana Dar 
Tunafanya delivery 
Tunatuma mikoa yote
Rezam Six (@rezam06) 's Twitter Profile Photo

Vijana Tujitahidi kuepukana na anasa zisizo na maana katika maisha yetu. Mfano: anasa ya kula Mchana itakuchelewesha kutoboa Maisha.

๐…๐š๐ซ๐š๐ฃ๐š (@faraja_zungu) 's Twitter Profile Photo

Wasomi na watu wa Tech industry naomba mnisamehe kama kuna namna mmekwazika. Sikuwa na maana mbaya kuuliza comparison ya speed btn StarLink na vodacom 5G sasa wengine mpaka mnatukana. Mimi nauza bando tu kwa watumiaji wa kawaida. Mnisamehe sana, nimekosa san . Tuishi nayo๐Ÿ‘Š๐Ÿฟ

Wasomi na watu wa Tech industry naomba mnisamehe kama kuna namna mmekwazika.

Sikuwa na maana mbaya kuuliza comparison ya speed btn StarLink na vodacom 5G sasa wengine mpaka mnatukana.

Mimi nauza bando tu kwa watumiaji wa kawaida. Mnisamehe sana, nimekosa san .

Tuishi nayo๐Ÿ‘Š๐Ÿฟ
Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

"Naitazamia Tanzania yenye ustawi katika nyanja mbalimbali na mfumo utakaoweka mbele sauti za wananchi na kuchukua mamlaka ya hatima ya maisha yao kisiasa, kiuchumi, kijamii" Dr. Stigmata Tenga, Rais wa Foundation for Civil Society #WikiYaAzaki2024 #CSOWeek2024

"Naitazamia Tanzania yenye ustawi katika nyanja mbalimbali na mfumo utakaoweka mbele sauti za wananchi na kuchukua mamlaka ya hatima ya maisha yao kisiasa, kiuchumi, kijamii"

Dr. Stigmata Tenga, Rais wa <a href="/FCSTZ/">Foundation for Civil Society</a> 

#WikiYaAzaki2024
#CSOWeek2024