C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile
C H A M P

@mpambazi

Founder & CEO - @champ_products |Entrepreneur |Leader |Natural Beauty Expert |Vegan | Ambassador of Christ |๐Ÿ“ฉ: [email protected]

ID: 910852963404517376

calendar_today21-09-2017 13:07:24

208,208K Tweet

173,173K Followers

1,1K Following

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Im told natafutwa. Well, nilizika hofu-mauti zamani kiasi. & at this point Iโ€™m tired. God serve me & my boys. Weโ€™ve no capacity - save for strengths we find in You. Be my God, my Friend & my best Guy. To You we surrender our lives. Mkifanikiwa nitupeni kijijini kwetu๐Ÿคฒ๐Ÿพ

Im told natafutwa. 

Well, nilizika hofu-mauti zamani kiasi.

& at this point Iโ€™m tired. 

God serve me & my boys. Weโ€™ve no capacity - save for strengths we find in You. 

Be my God, my Friend & my best Guy. To You we surrender our lives.

Mkifanikiwa nitupeni kijijini kwetu๐Ÿคฒ๐Ÿพ
SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Jana ina maana tu kwa wale walioiona leo na kesho ina maana tu kwa wale watakaojaaliwa kuiona. Kila siku unayoiishi ni zawadi si haki yako." ~Togolani Mavura.

"Jana ina maana tu kwa wale walioiona leo na kesho ina maana tu kwa wale watakaojaaliwa kuiona. Kila siku unayoiishi ni zawadi si haki yako." ~Togolani Mavura.
C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile Photo

Yesu akiingia mahali juwa hapatabaki kama palivyokuwa. Mkaribishe jumapili ya leo katika nyumba yako nae akutendee miujiza na kukuondolea mizigo.

C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile Photo

Hakuna awezae kutuangusha kama Yesu ndie alietuinua. Lipo kusudi la Mungu kwenye maisha yetu๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Nina tamka mamlaka juu ya wote wamwaminio hakika hawata baki nyuma wala kutetereka juu ya watesi wao. Mungu anakupenda ๐Ÿ™๐Ÿฟ

Hakuna awezae kutuangusha kama Yesu ndie alietuinua. Lipo kusudi la Mungu kwenye maisha yetu๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Nina tamka mamlaka juu ya wote wamwaminio hakika hawata baki nyuma wala kutetereka juu ya watesi wao. Mungu anakupenda ๐Ÿ™๐Ÿฟ
C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile Photo

Tuwaombee watu wote waliotekwa na wengine walio uwawa bila kujulikana sababu za kufa kwao/ kutekwa kwao pia tusiache kuwaombea wote wanao endelea kusema kweli kwa maslahi ya nchi yetu Mungu akatawale njia zao na kuwapa nguvu na kuwalinda.๐Ÿ™๐Ÿฟ

C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile Photo

1. Sabuni ya kuogea ya asili yenye kusaidia kuondoa chunusi, fangasi, harara, mapere, madoa, na harufu mbaya ya ngozi. Tshs 2,000 tu 1pc 2. Mafuta ya nywele kwa ajili ya kukuza/ kujaza nywele haraka, kuzuia zisikatike, kuimarisha nywele kwenye KIPARA kinacho ANZA, kufanya nywele

1. Sabuni ya kuogea ya asili yenye kusaidia kuondoa chunusi, fangasi, harara, mapere, madoa, na harufu mbaya ya ngozi. Tshs 2,000 tu 1pc

2. Mafuta ya nywele kwa ajili ya kukuza/ kujaza nywele haraka, kuzuia zisikatike, kuimarisha nywele kwenye KIPARA kinacho ANZA, kufanya nywele
C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile Photo

Kama huamini kwa kusikia basi jaribu kuyatumia utanishukuru. ๐Ÿ™๐Ÿฟ 1. Kipara kinacho anza yanaimarisha 2. Nywele nyekundu zinarudi nyeusi 3. Nywele kukatika zinaacha 4. Nywele hazikui zitakua haraka na kujaa 5. Miwasho kichwani inakoma Bei yake halisi ni 32,500 tu. Sisi tunauza kwa

Kama huamini kwa kusikia basi jaribu kuyatumia utanishukuru. ๐Ÿ™๐Ÿฟ
1. Kipara kinacho anza yanaimarisha
2. Nywele nyekundu zinarudi nyeusi
3. Nywele kukatika zinaacha
4. Nywele hazikui zitakua haraka na kujaa
5. Miwasho kichwani inakoma

Bei yake halisi ni 32,500 tu. Sisi tunauza kwa