Joramu Nkumbi (@nkumbijoram) 's Twitter Profile
Joramu Nkumbi

@nkumbijoram

Author 6 Books AMAZON 📚📚=| MBA | MLUMBI I Leadership Expert /John 15:16 IMC | Trainer-0757464874 MD:AYLF and PLO Lumumba Foundation SUB YOUTUBE —Joramu Nkumbi

ID: 2611938503

calendar_today15-06-2014 17:42:16

2,2K Tweet

53,53K Followers

334 Following

Joramu Nkumbi (@nkumbijoram) 's Twitter Profile Photo

Mtu jahili ametanzwa kufikiri hadiriki, anakwenda kwa ndaro, mikogo na madoido. Anajitia baramaki wakati maisha ni matembezi ya kukoma tasihili. Lahaula !

Msitu bila miche michanga ni Msitu mfu, “Chinua Achebe” aliwahi kuuliza Swali iko wapi miche michanga itakayo chipukia? Baada ya ile migomba mizee kufariki? Dua yetu uwe Salama ndugu yetu hadi utakapoturudia 🙏

Aliepuka makurumbesa wenye kudai mapesa bahati ikawa yake akampata kisura, kimwana wa Mtang’ata ndiposa wafunge harusi ya kilili. Raha mwenzao akala raha.

Mapenzi yana hilaki na hili nimesadiki alipofuata makurumbesa wenye kupenda mapesa. Amepigwa dafrao nazi kuvunja jiwe. Anajuta

Mapenzi yana hilaki na hili nimesadiki alipofuata makurumbesa wenye kupenda mapesa. Amepigwa dafrao nazi kuvunja jiwe. Anajuta
Joramu Nkumbi (@nkumbijoram) 's Twitter Profile Photo

Hawajulikani, hawaonekani, Wanadharauliwa, lakini wao ndiyo Sababu Mungu hainyeshei dunia Mvua ya Moto na kuruhusu radi kuangamiza dunia maana akiwaona hao waja wema wa mitaani wasio na dhuluma juu ya maisha ya watu anaghairi Hasira yake. 🙏

Joramu Nkumbi (@nkumbijoram) 's Twitter Profile Photo

Mnoe Lubu (akili) hatimaye muwe vijana wa ibura na kusudi muwe na fani za taamuli tena muwe vijana maizi. Dua yangu kwenu, Wadudi awape roho za kushiba maarifa na mioyo ya kutakata. Enyi vijana, jambo huzimwa kwa jambo, ni Matilaba yangu niwaone katika hamdia pindi mkihitimu.

Mnoe Lubu (akili) hatimaye muwe vijana wa ibura na kusudi muwe na fani za taamuli tena muwe vijana maizi.

Dua yangu kwenu, Wadudi awape roho za kushiba maarifa na mioyo ya kutakata. Enyi vijana, jambo huzimwa kwa jambo, ni Matilaba yangu niwaone katika hamdia pindi mkihitimu.
Joramu Nkumbi (@nkumbijoram) 's Twitter Profile Photo

Dalili zinaonesha tumeanza kuchukiana na kubaguana kati ya mwenye nacho na asiye nacho, kati ya walala hoi na walala hai, kati ya watawala na watawaliwa. Tumeanza kupotea katika jamii, nchi yetu imeanza kula watu wake, tunahitaji mapinduzi ya upendo. Mpende jirani yako

Joramu Nkumbi (@nkumbijoram) 's Twitter Profile Photo

Kuna Wakati Tanzania ilikuwa ni “Jabali la Gibraltar” kisiwa cha Fikra na sehemu ya Ubatizo wa Uanamajumui na mvuvumko wa Afrika.

Joramu Nkumbi (@nkumbijoram) 's Twitter Profile Photo

Fauwa Dungusi kakati Chamchera Chamchela Jekejeke Tashtiti Tashwishi Mvua ya bojo Mvua ya mawanga Kinyamkera Baridi shadidi Joto shadidi

Joramu Nkumbi (@nkumbijoram) 's Twitter Profile Photo

Nilipofanya Mahojiano kule Marekani Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa - New York City UN HQ. 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸

Joramu Nkumbi (@nkumbijoram) 's Twitter Profile Photo

Kitu gani babako hajakufundisha ? Majukumu ya Baba kwa Mtoto wake wa Kiume kwa Mujibu wa Kiddushin 29a: (Wayahudi);inasema 1. Baba ana wajibu wa kumtahiri kijana wake wa kiume 2. Kumfundisha neno la Mungu 3. Kumtafutia Mke 4. kumfundisha Kuogelea na 5. kumfundisha biashara