Privaldinho (@privaldinho) 's Twitter Profile
Privaldinho

@privaldinho

YANGA SC DIGITAL MANAGER…… Author || Lawyer || Sports Pundit ||

ID: 791028608

calendar_today30-08-2012 07:14:28

23,23K Tweet

851,851K Followers

446 Following

𝗝𝗮𝗺𝗮𝗮 𝗠𝘂𝘂𝘇𝗮 𝗗𝗮𝘄𝗮 (@gaspinho15) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa na Application ya SportPesa Tanzania ni raha sana naeo tunakuletea GOAL RUSH. cheza sasa bure na ushinde Mkwanja wa kutosha hadi Bilioni 1 cha kufanya sasa ni Jisajili sasa kwa Kugusa Link hapo na Ucheze ushinde.👇 bit.ly/SportPesa-BT-X1 #MamilioniNaGoalRush

Ukiwa na Application ya <a href="/TZSportPesa/">SportPesa Tanzania</a> ni raha sana naeo  tunakuletea GOAL RUSH. cheza sasa bure na ushinde Mkwanja wa kutosha hadi Bilioni 1 cha kufanya sasa ni
Jisajili sasa kwa Kugusa Link hapo na Ucheze ushinde.👇 

bit.ly/SportPesa-BT-X1

#MamilioniNaGoalRush
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wetu Arafat Ally Haji leo amemtembelea Farid Mussa baada ya kufanyiwa upasuaji wa misuli iliyochanika nyuma ya goti na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi miwili hadi mitatu. Wananchi tunakuombea upone haraka🔰💪🏽 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Makamu wa Rais wetu <a href="/Arafat__AH/">Arafat Ally Haji</a> leo amemtembelea Farid Mussa baada ya kufanyiwa upasuaji wa misuli iliyochanika nyuma ya goti na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi miwili hadi mitatu. 

Wananchi tunakuombea upone haraka🔰💪🏽

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Privaldinho (@privaldinho) 's Twitter Profile Photo

JAMVI LA KIJIWE Belgium vs Israel -1 France vs Italy -1 Slovena vs Austria -1.5+ Wales vs Turkey - 12 Morocco vs Gabon -1 Egypt vs Cape Verde - 1 Ivory Coast vs Zambia -12 DR Congo vs Guinea -1 South Africa vs Uganda -12 Senegal vs Burkina -1.5+ Tukae humu SportPesa Tanzania

Privaldinho (@privaldinho) 's Twitter Profile Photo

Kila mtu ana starehe yake. Inawezekana yeye anazo njia ambazo anatumia kustarehe ambazo mtu mwingine nae anaweza kuzidharau pia. Kwahiyo kila mtu anaishi apendavyo. Pesa watu wanatafuta ili wazitumie hatuzikwi nazo

Privaldinho (@privaldinho) 's Twitter Profile Photo

Ushaanza kujiliza?? Unaacha kukemea mauza uza yenu huko Ghana upo busy na wasauzi? Ulipokuja Tanzania kuna tukio moja ulijirekodi pale Mkapa wakati wa mechi yetu na Mamelodi ukatuchafua sana. Nilitegemea ufanye uchambuzi ule ule kwenye tukio lenu ila umefyata Mkia. Kazi yako

Privaldinho (@privaldinho) 's Twitter Profile Photo

Brigedia Mtikilia, tukiachana na huo ujinga wa kumrekodi ambao sijui alidhamiria nini, jambo la kheri alimpeleka hospital. Lakina natamani pia tujifunze jambo kupitia hili na wenye mawazo tunaomba msaada wetu. Niliwahi kusikia uking’atwa na nyuki mmoja wengine wanakufuata wewe,