Radio Maisha
@radiomaisha
Kwa vipindi bomba , muziki bora wa kiafrika na habari tendeti, tegea Radio Maisha. Tuko mbele pamoja.
ID:139772819
https://mtickets.com/buy/choma-na-ngoma-festival/1857 03-05-2010 16:51:06
1,1M Tweets
598,0K Followers
274 Following
The Standard Group Media Foundation, Global Peace Foundation, and Chandaria Foundation join hands to support flood victims in Magadi, Kajiado County. Over 1,000 people receive vital food donations.
#SGFoundation
Maisha Kilimo na Martin Githinji na Njoro. Kila Jumapili kuanzia saa saba hadi saa nane mchana. #MaishaKilimo #RadioZaidiYaRadio
Match Day LIVE!! Arsenal vs Everton will be LIVE on Radio Maisha from 6pm!! #DanadanaViwanjani #HomeOfEPL Mozzart Bet Kenya
Tukuza na Mercy Mmbone kutoka saa nne asubuhi hadi saa saba mchana. #TukuzaNaMercyMmbone #RadioZaidiYaRadio #MaishaNiBoraZaidi Mmbone Mercy
Nani atakuwa mshindi wa EPL kesho? Tupatane live this Sunday at 6pm ili upate matangazo kati ya Arsenal na Everton live only on Radio Maisha #HomeOfEPL #DanadanaViwanjani Mozzart Bet Kenya
Danadana Viwanjani na Stephen Mukangai, Walter Kinjo na @zeleshaffie kutoka saa tisa mchana hadi saa moja usiku. #DanadanaViwanjani #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio
Jibu la kitendawili cha wiki kwenye Nuru ya Lugha na Victor Mulama ni....... JUA/SHAMSI.
Hongera Ibrahim Andenga kwa kuwa wa kwanza kutoa jibu sahihi. #NuruYaLugha #UpyaZaidi #RadioZaidiyaRadio
Tegea drama ya Mapambazuko ya Machweo kwenye
IGIZO LA FASIHI!!
#NuruYaLugha #UpyaZaidi #RadioZaidiYaRadio
Jiamini kwani wewe pia unaweza!
Tegea Jicho la Tatu na Shisia Wasilwa. #NuruYaLugha #UpyaZaidi #RadioZaidiYaRadio
Unaendelea kuelimika kwenye Nuru ya Lugha na Victor Mulama katika Radio Maisha.
Tuko Mbele Pamoja. #NuruYaLugha #UpyaZaidi #RadioZaidiYaRadio
Kitendawili cha Wiki
Ukimwona anakuona. Huyo ni ____
Tuzo ya Kamusi Pevu ya Kiswahili Toleo la Tatu ipo kwa wa kwanza kujibu sahihi.
Nuru ya Lugha na Victor Mulama (7am - 11am).
Nahodha Victor Mulama #NuruYaLugha #UpyaZaidi #RadioZaidiyaRadio
Maisha Cocktail na @thisisgathoni na Mr Twisting Tiger. Saa nne hadi saba usiku #MaishaCocktail #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio
Usiku huu, tukutane na star wa Radio Maisha Chris Da Bass on #HabariZaNews live on KTN HOME
Hosts Shugaboy KE Guzman Mikidadi ringa penda
Produced by Yusta Seghete
#KTNWelcomeHome #TatuSure #HabariZaNews 2.0
Club Rhumba na @titinirhumba na Deejay Darius kutoka saa moja hadi saa nne usiku. #RhumbaRepublik #RadioZaidiYaRadio
Maisha Sherehe Friday na @nzulamakosi, Mfalme Wa Dimba na Mr Twisting Tiger. 3pm - 7pm. #MaishaShereheFriday #MaishaNiBoraZaidi
Next up on Konnect leo we have Goddy Tennor in studio!! #MwendeNKassimKonnect #RadioZaidiYaRadio #MaishaNiBoraZaidi
Konnect Friday Party na Queen of Airwaves, Kassim Mbui🇰🇪 na @djyoungkenya kutoka saa sita hadi saa tisa mchana. #MwendeNKassimKonnect #RadioZaidiYaRadio #MaishaNiBoraZaidi