Heroine 🦋🧕 (@rasheedzennah) 's Twitter Profile
Heroine 🦋🧕

@rasheedzennah

Hear,see, and be silent🌻 Kop Gal🥰

ID: 1495427743315640327

calendar_today20-02-2022 15:59:34

221 Tweet

172 Takipçi

199 Takip Edilen

𝕄𝕣. 𝔹𝕖𝕖🍯🇹🇿 (@mrbeetanz) 's Twitter Profile Photo

Kitendo Cha Kuiona Siku Nyingine Ukiwa n Afya Njema ni Ishara Tosha Kuwa Mungu Yupo Kazini ( Mungu ni Mwema 🙏🏾) Good Morning God’s Family 🌅

ANKO BINNO (@anko_binno) 's Twitter Profile Photo

Jitihada zako leo ni msingi wa mafanikio ya kesho. Kila la heri kwenye upambanaji wako! Mwenyezi Mungu akawe nasi katika upambanaji wetu🙏

Jitihada zako leo ni msingi wa mafanikio ya kesho. Kila la heri kwenye upambanaji wako! 

Mwenyezi Mungu akawe nasi katika upambanaji wetu🙏
pot ov joy 😂🥰 (@miria24054) 's Twitter Profile Photo

Lately, I’ve been reflecting on how the darkest nights produce the brightest stars. It’s a reminder that even during tough times, there’s always potential for growth and clarity. How have you seen challenges lead to unexpected insights or progress in your life?”..🥴

𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚 (@habiibyahyaa) 's Twitter Profile Photo

Fundisha mwanao maeneo haya matatu… 1. Fundisha kichwa chake-Mpe maarifa 2. ⁠Fundisha moyo wake-Mpe maadili 3. ⁠Fundisha mikono yake-Mpe vijikazi. ONYO: Sasa wewe endelea kumpatia rimoti ya TV akae sebuleni akibonyeza bonyeza tu🙌 Kesho maisha yatakuja kumbonyeza yeye…

Fundisha mwanao maeneo haya matatu…

1. Fundisha kichwa chake-Mpe maarifa
2. ⁠Fundisha moyo wake-Mpe maadili
3. ⁠Fundisha mikono yake-Mpe vijikazi.

ONYO: Sasa wewe endelea kumpatia rimoti ya TV akae sebuleni akibonyeza bonyeza tu🙌 Kesho maisha yatakuja kumbonyeza yeye…
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚 (@habiibyahyaa) 's Twitter Profile Photo

Kama kawaida ambao hatuna Cha kurithi tuamke tukajitafute Tena leo huku tukimuomba Mungu atupe uvumilivu tusitamani vya watu. Good morning the chosen 🤚

Kama kawaida ambao hatuna Cha kurithi tuamke tukajitafute Tena leo huku tukimuomba Mungu atupe uvumilivu tusitamani vya watu.

Good morning the chosen 🤚
𝕄𝕣. 𝔹𝕖𝕖🍯🇹🇿 (@mrbeetanz) 's Twitter Profile Photo

Mambo Sita (6) ya kuzingatia Katika Harakati Zako za Kimaisha 1. Kubali Kukataliwa na Kusemwa 2. Usiombe Hovyo 3. Usikimbizane na Mtu 4. Tambua Thamani Yako 5. Jichague Mwenyewe 6. Simamia Mipango Yako