Seif Mselem (@seifjamal21) 's Twitter Profile
Seif Mselem

@seifjamal21

Business Consultant & Sales Expert πŸ“ˆ

ID: 1326883836983205890

calendar_today12-11-2020 13:45:54

11,11K Tweet

2,2K Followers

836 Following

Haulay (@positivenga1) 's Twitter Profile Photo

Mfano Ukitaka kuanzisha biashara ya kuuza power bank zako mwenyewe; that process ya kufuatilia usajili,manufactures, mikakati ya distribution, kutafiti team nzuri,kushughulia shipping. These processes will teach you a lot, even if the business might fail.Always dare to start.

JAX (@joshuamsuya_) 's Twitter Profile Photo

Sio kila tangazo la biashara yako lazima liwe na lengo la kuuza. Malengo ya matangazo yako yanaweza kuwa - kukuza ufahamu wa brand yako - kutangaza bidhaa mpya au kukumbusha ubora wa zilizopendwa - kupeleka traffic ya watu katika ukurasa fulani.

Seif Mselem (@seifjamal21) 's Twitter Profile Photo

>Hivi kati ya Kumsubiri Mteja... Na... >Kumfata Mteja alipo... Ili Umuuzie Ipi ni Njia ya Uhakika zaidi ya Kuongeza Mauzo? Kama Jibu Lako ni No.2 Sasa kwanini Wewe huwa Unakaa na Kusubiri Wateja waje Ofisini kwako? Na Kwanini... Unaona MACHINGA kama Watu Wanaopoteza Muda?

JAX (@joshuamsuya_) 's Twitter Profile Photo

Lengo - mkakati - tenda Una ndoto ya maisha unataka kuishi, hili ni lengo lako Lengo lako linahitaji hatua ili ufike huko, huu ni mkakati wako Mkakati unahitaji vitendo au mambo utakayofanya kwa kila hatu. Tatizo watu wengi wanaamini kuna siku watafikia ndoto zao bila action

Deogratius (@deogratius_ap) 's Twitter Profile Photo

Seif Mselem Yeah yeah... Mteja awe aware na value ya bidhaa yako Kisha umpe desire za kuipata bidhaa na Kama mteja tayari ameshatamani kuwa na bidhaa yako. Upatikanaji uwe mrahisi sana. Asije kuona uvivu kwenda dukani Hapo naungana na wewe kaka πŸ€πŸ˜‚

Learners Bookshop (@vitabu247) 's Twitter Profile Photo

Kwneye hiyo big picture. Anza kidogo kidogo( Think Big but start small ) Kuanza kidogo kidogo kutakupa details zote namna ya kutimiza malengo yako makubwa. Usipoanza kidogo kidogo utabaki na ndoto kubwa usiyoweza kutimiza hii ni jibu la Jana kwanini wenye big picture

Sponsored ads Tanzania (@sam_instaguru) 's Twitter Profile Photo

MAOKOTO - Vijana ambao wamesoma Course zetu 4 Kupitia Telegram Channel zetu. Kutoka Hapa X na Platform zingine, Wanajipatia Walau 50,000 - 200,000 Kwa Siku. Tarehe 25 Mwezi huu, Tutakuwa na VVIP Digital Marketing Class! Darasa Zuri kwa Wanaoanza Masuala Ya digital mtandaoni na