Rafiki’🗿 (@selfloveheal) 's Twitter Profile
Rafiki’🗿

@selfloveheal

Be you. @Rexshoptz #Hey🇹🇿.

ID: 722936197023186944

linkhttps://bio.site/Rexraphael calendar_today20-04-2016 23:53:15

10,10K Tweet

3,3K Followers

990 Following

Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

Acheni kutishia tu watu kuhusu motoni, wafundisheni watu ukubwa wa upendo wa Mwenyezi Mwungu. Hakuna anayekuzwa imani kwa vitisho, mnatengeneza tu watu wanaoogopa kufanya maovu sababu ya adhabu badala ya kuchukia ubaya wa maovu.

Shedu255 (@255shedu) 's Twitter Profile Photo

Mi nasemaga injili ya miaka ya nyuma ilitukosea sana kwasababu ilijaa vitisho zaidi ya upendo wa Mungu, matokeo yake watu wakaingia kusali kwa hofu ya kutoenda huko motoni bila kupata wokovu halisi wa neema ya Mungu na pia imefanya watu wanaosali kuwa very judgemental kwa wengine