Silver Raca (@silverraca) 's Twitter Profile
Silver Raca

@silverraca

Media Veteran

ID: 603601809

linkhttps://ffm.bio/silverraca calendar_today09-06-2012 11:28:57

23,23K Tweet

8,8K Followers

6,6K Following

Usher Raymond IV (@usher) 's Twitter Profile Photo

Account got hacked and damn y’all ran with it! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ See you tonight at Intuit Dome βœŒπŸΎπŸ‘€βœŒπŸΎ

Ndolezi (@ndolezi_petro) 's Twitter Profile Photo

Huu ni Udwanzi wa Matumizi mabaya ya Fedha za Umma. Kuingiza vikosi vya Jeshi la Polisi Kila Kona ni kuzua taharuki kwa Nchi bila sababu za msingi.Panic mood ya CCM kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa inafanya fedha zetu zitumike vibaya.Futeni vyama pinzani kibaki Chama Kimoja

Babangida (@daimumanafi) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA imeachwa peke yake ndiyo iwatetee wananchi ukweli ni kwamba hawawezi, vyama vingine vya siasa, asasi za kiraia, vyama vya kitaaluma n.k wanaangalia kwa pembeni. Ina maana siku CHADEMA wakisema wakae kimya basi hakuna ambaye atatoa sauti kukemea chochote?

Richard Mabala (@mabalamakengeza) 's Twitter Profile Photo

Tusisahau kwamba lengo la jana halikuwa maandamano. Lilikuwa kukomeshwa kwa utekaji na kuachiliwa kwa waliotekwa. Suala hili liko palepale l

Falsafa Baba! (@mwanafa) 's Twitter Profile Photo

yakiwapo maandamano kutaka uongozi wa Tanesco ung'olewe natangaza rasmi kushiriki na kulala Mnazi Mmoja(Tahrir Square yetu) hadi tufanikiwe