simpleetz™🇹🇿 (@simpleetz) 's Twitter Profile
simpleetz™🇹🇿

@simpleetz

ID: 700616316064022528

calendar_today19-02-2016 09:42:01

16,16K Tweet

1,1K Followers

184 Following

Mapung'o (@mapungo2020) 's Twitter Profile Photo

Haka kademu na sura yake kama kana kunya mavi magumu sana kamekula baadhi ya michango ya Sativa. Haiwezeka wiki nzima wamechangisha m.13 tu?🚶🚶😓

Haka kademu na sura yake kama kana kunya mavi magumu sana kamekula baadhi ya michango ya Sativa.

Haiwezeka wiki nzima wamechangisha m.13 tu?🚶🚶😓
simpleetz™🇹🇿 (@simpleetz) 's Twitter Profile Photo

Maelfu ya Wananchi wa Katavi wamejitokeza kwa Wingi katika Uwanja wa Ndege wa Katavi (Katavi Airport) kwa ajili ya kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anayetarajia kuwasili hivi punde mkoani humo kwa ziara ya kikazi.

SAMIA ANAKOPESHA VIJANA KILA KONA Paulo Mgawe Katibu wa kikundi cha Kusyakizya ameishukuru Serikali ya Awakubya sita kwa kuweka nguvu katika kuwawezesha vijana kupata sehemu ya kudumu kufanya shughuli za kujikwamua kiuchumi na hata kuchangia ukuaji wa pato la taifa.

simpleetz™🇹🇿 (@simpleetz) 's Twitter Profile Photo

WANANCHI WA KATAVI WAKISILIZA KWA MAKINI MANENO YENYE HEKIMA TOKA KWA RAIS SAMIA Wananchi wa kijiji cha Iyonga, Wilayani Mlele, Mkoani Katavi wakifatilia kwa makini hotuba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WANANCHI WA KATAVI WAKISILIZA KWA MAKINI MANENO YENYE HEKIMA TOKA KWA RAIS SAMIA

Wananchi wa kijiji cha Iyonga, Wilayani Mlele, Mkoani Katavi wakifatilia kwa makini hotuba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
simpleetz™🇹🇿 (@simpleetz) 's Twitter Profile Photo

WANANCHI WA MLELE WASEMA ZIARA YA RAIS SAMIA KATAVI, IMEWAPA MATUMAINI Wakazi wa Mlele mkoani Katavi, wameipongeza ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoifanya mkoanI Katavi huko wakieleza kuwa imewapa matumaini ya kukamilika kwa baadhi ya miradi ya maendeleo kwenye wilaya.