Spana & V.A.R Movement (@spana_konki) 's Twitter Profile
Spana & V.A.R Movement

@spana_konki

Certified Spanaz & V.A.R 🔧
Spana Headquarters🏢.
Spana & V.A.R Compilation.
Ni-Tag penye Spana/V.A.R.
JUMUIYA YA WAPIGA SPANA

ID: 1315183417638752257

calendar_today11-10-2020 06:53:35

165,165K Tweet

327,327K Takipçi

1,1K Takip Edilen

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hili ndio gari walilolitumia kunisafirisha kutokea DAR (kituo cha polisi OSTABAY siku ya 24/6 "jumatatu" majira ya saa 0520- 0525). Nilifunikwa na mzura (zile mask zenye matobo ya macho na mdomo) ila hayo matundu waliyageuzia kwa nyuma kwenye kisogo. Hii gari ilitembea speed

Hili ndio gari walilolitumia kunisafirisha kutokea DAR (kituo cha polisi OSTABAY siku ya 24/6 "jumatatu" majira ya saa 0520- 0525).

Nilifunikwa na mzura (zile mask zenye matobo ya macho na mdomo) ila hayo matundu waliyageuzia kwa nyuma kwenye kisogo.

Hii gari ilitembea speed
Sylah arts (@pichanzurii) 's Twitter Profile Photo

Good morning everyone there 🌸 Karibu nikutengenezee #pichambao nzuri kwa ajili ya ukumbusho na zawadi. A3 size Tsh 15,000/= Chagua picha moja nzuri unayoipenda nitumie mimi whatsapp au Dm nikutengenezee. 📍Sinza kumekucha ☎️ 0786445451 Delivery hadi mikoani

Good morning everyone there 🌸

Karibu nikutengenezee #pichambao nzuri  kwa ajili ya ukumbusho na zawadi.

A3 size 
           Tsh 15,000/=

Chagua picha moja nzuri unayoipenda nitumie mimi whatsapp au Dm nikutengenezee.

📍Sinza kumekucha
☎️ 0786445451

Delivery hadi mikoani
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

Mwanangu Nathaniel Mwaipopo project yake ya NotiAi imependekezwa kwenye mashindano ya Google GeminiAPI -NotiAi ni AI inamuwezesha hata mtu asokua na internet kuAccess AI kwa SMS tu Tupige kura Tuzo ije nyumbani Link: Vote.notiai.com Repost, reply screenshot ukiVote🙏🏽

Mwanangu <a href="/nathaniel_codes/">Nathaniel Mwaipopo</a> project yake ya NotiAi imependekezwa kwenye mashindano ya Google GeminiAPI

-NotiAi ni AI inamuwezesha hata mtu asokua na internet kuAccess AI kwa SMS tu

Tupige kura Tuzo ije nyumbani 

Link: Vote.notiai.com

Repost, reply screenshot ukiVote🙏🏽
TricyLove🦁 (@amprincess9) 's Twitter Profile Photo

Je, Uliwahi pia kuwa na ndoto ya kuwa rubani ila haukuweza kuitimiza kutokana na changamoto mbili tatu? WiBET anatimiza ndoto yako ya kuwa rubani kwa kucheza Aviator na kushinda Pakua App ya WiBet: mobile.wibet.co.tz/apps/m/a/Wibet #OddszaUjazo #MkwanjaKilaKiwanja

Je, Uliwahi pia kuwa na ndoto ya kuwa rubani ila haukuweza kuitimiza kutokana na changamoto mbili tatu?

<a href="/WiBETTanzania/">WiBET</a> anatimiza ndoto yako  ya kuwa rubani kwa kucheza Aviator na kushinda

Pakua App ya WiBet:  mobile.wibet.co.tz/apps/m/a/Wibet

#OddszaUjazo #MkwanjaKilaKiwanja