Telesphor Magobe (@t22magobe) 's Twitter Profile
Telesphor Magobe

@t22magobe

Freelancer journalist with multidisciplinary education background: spirituality, philosophy, theology, journalism & laws.

ID: 1780466061139136512

calendar_today17-04-2024 05:20:45

507 Tweet

27 Followers

110 Following

Telesphor Magobe (@t22magobe) 's Twitter Profile Photo

Siku moja nilikuwa naongea na jamaa, na akasema ushahidi wa kesi fulani haukwenda vizuri. Nikasema angekuwepo Tundu Lissu au Peter Kibatala...Kusema hivyo tu, jamaa akapaniki, akaniita "mbwa wee...Tundu Lissu...Tundu Lissu ni nani? Unatuletea siasa hapa?" Kila mtu alishangaa.

Telesphor Magobe (@t22magobe) 's Twitter Profile Photo

One of the courses I studied during my three years' study of philosophy was political philosophy. It was one of my favourite subjects. I still read books on political philosophy which is quite different from what I see being preached and practised in many countries.

Telesphor Magobe (@t22magobe) 's Twitter Profile Photo

I believe matumizi ya nguvu hayaondoi wala kupunguza uhalifu. Kinachoweza kuondoa au kupunguza uhalifu ni kujifunza kuwa watu wema zaidi (watu wenye dhamana za uongozi na utekezaji wa sheria, na raia).

Telesphor Magobe (@t22magobe) 's Twitter Profile Photo

Maandamano ya amani ni haki ya kila mtu, kwa mujibu wa Katiba na sheria, na si uhalifu. Tangu Rais wa Awamu ya 6 aanze, vyama vya siasa, hasa Chadema, vimekuwa vikiandamana na hapakuwa na shida. Vurugu/kuhatarisha amani/maisha ya watu na mali zao ndivyo vitu vinavyokatazwa tu.

Telesphor Magobe (@t22magobe) 's Twitter Profile Photo

Serikali ni thabiti na uthabiti huo hauko katika kuzuia maandamano ya amani yanayoruhusiwa kisheria. Kuzuia maandamano ya amani ni kuzuia shughuli za kisiasa zinazofanywa kisheria. Kwa vile wamekuwa wakiandamana bila kutenda uhalifu, naamini maandamano yao yatakuwa ya amani pia.

Telesphor Magobe (@t22magobe) 's Twitter Profile Photo

Naomba unijibu kisheria. Kuandamana kwa amani sheria haikatazi. Sasa nani anayekataza ambacho sheria haikatazi? What the law allows who can disallow it, and on the basis of which law?

Telesphor Magobe (@t22magobe) 's Twitter Profile Photo

Kila mara taarifa kama hizi za kutofuata utaratibu zinatufanya tuonekane hatuna huo utamaduni, wakati zamani tulikuwa moja ya mataifa ya mfano Afrika katika siasa. Sifa hii imepotelea wapi? I wish every Tanzanian was a law-abiding and responsible citizen.

Telesphor Magobe (@t22magobe) 's Twitter Profile Photo

Kwako ili ujue kifo kimetokea unataka wade kuanzia wangapi na ni akina nani huwa wanapanga wafe kwa wakati mmoja wengi ili tuonekane ni msiba mkubwa? Na si hata kama wamekufa wengi kwa pamoja kila mmoja amekufa peke yake? Nani anayeweza kumfia mwingine?

Telesphor Magobe (@t22magobe) 's Twitter Profile Photo

Ni kweli. Kuna kitabu kimoja nakisoma kuhusu 'critical thinking' na kinasema 'critical thinking is thinking about one's own thinking'. Kwa hiyo, ukisikia mtu anaitwa 'mchambuzi' fuatilia namna yake ya reasoning, na kama unavyosema, utajua kama ni propagandist au mchambuzi kweli.

Telesphor Magobe (@t22magobe) 's Twitter Profile Photo

Kama ni kweli, mambo kama haya ndiyo yanayoturudisha nyuma hatua kadhaa hata kama tumepiga hatua fulani mbele. Kwa nini tunakuwa na utamaduni wa kufanya mambo ambayo kisheria yanakuwa hayako wazi kufanya haki ionekane ikitendeka'?

Telesphor Magobe (@t22magobe) 's Twitter Profile Photo

Mimi nilivyoelewa ni kwamba walitaka wajiridhishe kama hao waliokuja kukamata ni polisi, na hawakuweza kujiridhisha. Katika mazingira hayo, wataaminije ni polisi? Kwani polisi hawajui utaratibu wa kumkamata mtuhumiwa ukoje? Nadhani kwa yanayotokea ni vizuri kuchukua tahadhari.

Telesphor Magobe (@t22magobe) 's Twitter Profile Photo

Mbona kukata rufaa ni practice ya kawaida sehemu mbalimbali? Mtu akikata rufaa anaweza kushinda au kushindwa, na rufaa ya mtu mmoja haiwezi kubatilisha matokeo ya wote walioshinda, unless kama ilikatwa kwa lengo hilo.