TAMWA Zanzibar
@tamwa_zanzibar
TAMWA Zanzibar is a non-partisan not for profit sharing, non-Governmental professional membership organization. #MwanamkeNiKiongozi #ZuiaUkatiliZanzibar
ID: 855043886313594887
http://www.tamwaznz.or.tz 20-04-2017 13:02:03
3,3K Tweet
2,2K Followers
2,2K Following
📍📰"Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee, na Watoto ZNZ imeandaa mikakati maalum ikiwemo kutoa mafunzo, nyenzo na programu za ushauri ili kusaidia wagombea wanawake," Mhe Anna Athanas Paul, Naibu Waziri wizara hiyo. #MwanamkeNiKiongozi Ambassador Tone Tinnes
"Waandishi wanapaswa kuzingatia uchambuzi wa takwimu ambazo zitaongeza tija katika jamii na kumwezesha na kuboresha nafasi ya mwanamke kushika nafasi za uongozi," – Dkt. Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA Zanzibar #MwanamkeNiKiongozi
"Katika dunia ya sasa, ambapo watu wengi wanapata taarifa kupitia mitandao ya kijamii, waandishi wanapaswa kujikita huko ili kuendana na mabadiliko," – Tatu Ali Mtumwa, Mratibu YMF. #MwanamkeNiKiongozi TAMWA Zanzibar
"Data husaidia kupata taarifa sahihi, kuelewa ukubwa wa tatizo, na kurahisisha upatikanaji wa ufumbuzi," – Fahima Mohamed Issa, Mkurugenzi wa Idara ya Takwimu za Kijamii, Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Tanzania Zanzibar. #MwanamkeNiKiongozi TAMWA Zanzibar
" Waandishi wa habari wana wajibu wa kuzingatia uchambuzi wa takwimu kwenye habari zao ambazo zitasaidia kuleta tija katika jamii ikiwa ni pamoja na kumuinua mwanamke kushika nafasi za uongozi," Dkt Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA ZNZ. #MwanamkeNiKiongozi
Waandishi wa habari chipukizi kisiwani Pemba wameanza mafunzo ya kuwajengea uwezo kuandika habari za Wanawake na Uongozi ikiwa ni awamu ya tatu ya programu inayotekelezwa na TAMWA ZNZ kwa kushirikiana na Shirika la NEDemocracy. #MwanamkeNiKiongozi
📍"Waandishi wa habari ibueni changamoto na kutoa suluhisho kwa jamii kwasababu mna nafasi kubwa ya kushauri taifa kufanya mageuzi katika masuala mbalimbali," Fat-hiya Mussa, mratibu TAMWA ZNZ. #MwanamkeNiKiongozi Mafunzo kwa waandishi chipukizi Zanzibar. Ambassador Tone Tinnes
MKURUGENZI TAMWA ZNZ: WAANDISHI WA HABARI ANDIKENI HABARI ZA KUCHOCHEA UWAJIBIKAJI #MwanamkeNiKiongozi Ambassador Tone Tinnes UNESCO Dar es Salaam NEDemocracy Foundation for Civil Society Mzuri Issa instagram.com/reel/C-u9-_SPf…
MKURUGENZI TAMWA ZNZ: Waandishi wa Habari andikeni Habari za Kuchochea Uwajibikaji. youtu.be/SjyCuHRMtP4?si… Mzuri Issa