Tanzania Bound Buses (@tboundbuses) 's Twitter Profile
Tanzania Bound Buses

@tboundbuses

Tunakupa taarifa kuhusu njia zote za basi nchini.
Powered by Bus Community

ID: 3624270502

linkhttps://twitter.com/i/communities/1563434978003718144 calendar_today11-09-2015 21:11:16

84,84K Tweet

53,53K Followers

2,2K Following

WASAFIRI TANZANIA (@wasafirtanzania) 's Twitter Profile Photo

Nimetuma nauli napiga Simu kuuliza kama kaiona ,kapokea harafu kaweka ule wimbo wa zuchu Wanangu kateni tiket kabisa utapeli ni mwingi sana

Augrham (@aboutrica_) 's Twitter Profile Photo

Kwan mkuu samahan lkn kwa kuingilia kaz zako ijapo mm sio mnaz wa hiz mbaga bt wazo langu kwamba kwann uyuh Tajiri asifanye kam Tahmed anavyofanya yan bus za thamani zifanye international route upige zaid ya kawaida au we unaonaje

Abdallah (@samatajr_12) 's Twitter Profile Photo

KATARAMA ameleta shidaa kwa wengii๐Ÿ˜† Tanzania Bound Buses Southern Highland Buses LATRA wanaruka na kila chuma hapa Igumbilo wanakagua Kingโ€™amuzi hakieleweki unapaki hapahapa na abiria wako.!

KATARAMA ameleta shidaa kwa wengii๐Ÿ˜† <a href="/TBoundBuses/">Tanzania Bound Buses</a> <a href="/SouthernBuses/">Southern Highland Buses</a> LATRA wanaruka na kila chuma hapa Igumbilo wanakagua Kingโ€™amuzi hakieleweki unapaki hapahapa na abiria wako.!
Abdallah (@samatajr_12) 's Twitter Profile Photo

Hii chuma toka saa moja Asubuhi imepigwa pini hapa Igumbilo stend, Latra wamefaurisha Abiria wote yenyewe imebaki imekuja kuachiwa saa kumi na moja hii ya Jioni inarudi zake tu aubaruku kuanzia na moja๐Ÿ˜ Tanzania Bound Buses Southern Highland Buses

Hii chuma toka saa moja Asubuhi imepigwa pini hapa Igumbilo stend, Latra wamefaurisha Abiria wote yenyewe imebaki imekuja kuachiwa saa kumi na moja hii ya Jioni inarudi zake tu aubaruku kuanzia na moja๐Ÿ˜ <a href="/TBoundBuses/">Tanzania Bound Buses</a> <a href="/SouthernBuses/">Southern Highland Buses</a>