SHANGWE (@shangweliberia) 's Twitter Profile
SHANGWE

@shangweliberia

🇹🇿l Africa-China Matters| Chinese Soft Power | @UniversityofDaresSalaam | Reggae | Hip Hop | Afrobeat | I tweet in Kiswahili and English|

ID: 537899377

calendar_today27-03-2012 06:11:38

10,10K Tweet

2,2K Takipçi

1,1K Takip Edilen

SHANGWE (@shangweliberia) 's Twitter Profile Photo

I sometimes enjoy these online battles between 🇰🇪and 🇹🇿but they can be quite frustrating for any worldly East African. Here👇 is a blog I wrote following the Olduvai Gorge-is-in-Kenya ‘saga’ a few years ago. Att: celestine blogging.africa/general/what-i…

I sometimes enjoy these online battles between 🇰🇪and 🇹🇿but they can be quite frustrating for any worldly East African.  Here👇 is a blog I wrote following the Olduvai Gorge-is-in-Kenya ‘saga’ a few years ago. 

Att: <a href="/celestine_mat/">celestine</a> 

blogging.africa/general/what-i…
SHANGWE (@shangweliberia) 's Twitter Profile Photo

Ni sahihi kwa kiongozi wa nchi kulinda uhuru wa dola (sovereignty) anayoongoza dhidi ya nchi nyingine zinapoingilia mambo ya ndani ya nchi husika. Hata hivyo, nahitaji kurudi kwenye darasa la diplomasia na mawasiliano ya kidiplomasia kujielimisha zaidi.

SHANGWE (@shangweliberia) 's Twitter Profile Photo

Onesho hili lingefana kama maandamano haya yangekuwa sio ya amani. Bahati mbaya hakuna kinachoashiria kwenye video hii kwamba haya sio maandamano ya amani. Labda watunzi wa onesho walikuwa na nia njema lakini nia hiyo haionekani kwenye video hii. Decolonize TZ Police Force asap.

SHANGWE (@shangweliberia) 's Twitter Profile Photo

I 'm learning a lot of American diction in this election, especially on how some top politicians describe us - folks in the Global South. Backward, uncivilized, third world, there you go.

SHANGWE (@shangweliberia) 's Twitter Profile Photo

Many times I have come back to this 2012 lecture by Ngugi wa Thiong'o for personal and collective reflection of who I am and who we are as a people. It's hard not to weep, à la Weep Not, Child.

Many times I have come back to this 2012 lecture by Ngugi wa Thiong'o for personal and collective reflection of who I am and who we are as a people. It's hard not to weep, à la Weep Not, Child.
Twaweza - ni sisi (@twaweza_nisisi) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya nusu ya waandishi wa habari (56%) wanasema maafisa wa serikali ni chanzo kikuu cha vitisho, zaidi ya kundi lingine lolote. Hii inafuatiwa na polisi na wakala wengine wa usalama (13%). #PressFreedom #DemokrasiaYetu

Zaidi ya nusu ya waandishi wa habari (56%) wanasema maafisa wa serikali ni chanzo kikuu cha vitisho, zaidi ya kundi lingine lolote. Hii inafuatiwa na polisi na wakala wengine wa usalama (13%).

#PressFreedom
#DemokrasiaYetu
SHANGWE (@shangweliberia) 's Twitter Profile Photo

Nilisikia kiongozi mmoja wa polisi akisema ni wahalifu tu ndio wanaoogopa uwepo wa polisi wengi mtaani (wakiwa na silaha za moto, magari ya washawasha, mabomu ya machozi, nk).

Something really bad is about to happen to City on and off the pitch. I watched Haaland’s antics yesterday after they couldn’t beat a 10-man Arsenal and now this? Signs.