Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile
Alexander

@alesandrojr

| Philosophy | Theology | Roman Catholic |Ps 20:7| Pray, Hope And Don't Worry |God wins in the end| Uncouth & Impolite get BLOCKED🚫

ID: 981070816094883841

calendar_today03-04-2018 07:28:04

19,19K Tweet

30,30K Takipçi

9,9K Takip Edilen

Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

Baba Yetu uliye mbinguni. Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu. Kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi. Lakini utuopoe maovuni, Amina🙏

Baba Yetu uliye mbinguni. Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.

Utupe leo mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu. Kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi. Lakini utuopoe maovuni, Amina🙏
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, Amina🙏

Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa.

Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, Amina🙏
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

Ewe Nguvu na Tegemeo La viumbe vyote po pote, Unadumu milele yote Bila hata kutingisika; Utusikie, Ewe Baba, Mhisani, mwenye huruma, Kwa njia ya Yesu Kristo, Neno wako hata milele, Ambaye, pamoja na Roho, Roho wako Mtakatifu, Anaabudiwa milele Na kila kilo na uhai.

Ewe Nguvu na Tegemeo
La viumbe vyote po pote,
Unadumu milele yote
Bila hata kutingisika;

Utusikie, Ewe Baba,
Mhisani, mwenye huruma,
Kwa njia ya Yesu Kristo,
Neno wako hata milele,
Ambaye, pamoja na Roho,
Roho wako Mtakatifu,
Anaabudiwa milele
Na kila kilo na uhai.
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

SALA YA USIKU- JUMATANO K. Ee Mungu, uje kutusaidia. W. Ee Bwana, utusaidie hima. Tuwaze katika moyo makosa tuliyomkosea Mungu, kwa mawazo kwa maneno, kwa matendo na kwa kutotimiza wajibu: (kimya kifupi) Namwungamia Mungu mwenyezi, nanyi ndugu zangu, kwani nimekosa mno kwa

SALA YA USIKU- JUMATANO

K. Ee Mungu, uje kutusaidia.
W. Ee Bwana, utusaidie hima.

Tuwaze katika moyo makosa tuliyomkosea Mungu, kwa mawazo kwa maneno, kwa matendo na kwa kutotimiza wajibu: (kimya kifupi)

Namwungamia Mungu mwenyezi, nanyi ndugu zangu, kwani nimekosa mno kwa
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

SALA YA ASUBUHI +Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. Ee Mungu

SALA YA ASUBUHI

+Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.

Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. 

Ee Mungu
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

SALA YA MCHANA ALHAMISI JUMA LA 22 LA MWAKA K. Ee Mungu, uje kutusaidia. W. Ee Bwana, utusaidie hima. Atukuzwe Baba... UTENZI Njoo Roho Mtakatifu, Ndani yetu sisi uishi, Pamoja nawe waje pia Mungu Baba na Mungu Mwana, Nazo zako tele neema Njoo upate tujalia, Zitufanye

SALA YA MCHANA
ALHAMISI JUMA LA 22 LA MWAKA

K. Ee Mungu, uje kutusaidia.
W. Ee Bwana, utusaidie hima.
Atukuzwe Baba...

UTENZI
Njoo Roho Mtakatifu,
Ndani yetu sisi uishi,
Pamoja nawe waje pia
Mungu Baba na Mungu Mwana,
Nazo zako tele neema
Njoo upate tujalia,
Zitufanye
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

MALAIKA WA BWANA (ANGELUS) •Malaika wa Bwana alimpasha habari Maria, Naye akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. ~Salamu, Maria, umejaa neema; Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu Mama wa Mungu, utuombee

MALAIKA WA BWANA (ANGELUS)

•Malaika wa Bwana alimpasha habari Maria, Naye akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.

~Salamu, Maria, umejaa neema; Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu Mama wa Mungu, utuombee
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

ROZARI TAKATIFU, ALHAMISI (MATENDO YA MWANGA) 1. Yesu anabatizwa mto Yordani. - Tumwombe Mungu atujalie uaminifu kwa ahadi zetu za ubatizo 2. Yesu anageuza maji kuwa Divai huko Kana. - Tumwombe Mungu atujalie kuukoleza ulimwengu kwa chachu ya Injili. 3. Yesu anatangaza Ufalme

ROZARI TAKATIFU, ALHAMISI (MATENDO YA MWANGA)

1. Yesu anabatizwa mto Yordani. - Tumwombe Mungu atujalie uaminifu kwa ahadi zetu za ubatizo

2. Yesu anageuza maji kuwa Divai huko Kana.
- Tumwombe Mungu atujalie kuukoleza ulimwengu kwa chachu ya Injili.

3. Yesu anatangaza Ufalme
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

SALA YA ASUBUHI +Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. Ee Mungu

SALA YA ASUBUHI

+Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.

Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. 

Ee Mungu
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

MASIFU YA ASUBUHI IJUMAA JUMA LA PILI K. Ee Bwana, uifungue midomo yetu. W. Nasi tutalisifu jina lako. UTENZI Mimi mzabibu mtakatifu, Autunzao Babangu. Kila tawi lisozaa matunda, Baba yangu hulikata. Kila tawi lizaalo lakini, Hulichenga kwa makini; Hulichenga ili lipate zaa

MASIFU YA ASUBUHI
IJUMAA JUMA LA PILI

K. Ee Bwana, uifungue midomo yetu.
W. Nasi tutalisifu jina lako.

UTENZI
Mimi mzabibu mtakatifu,
Autunzao Babangu.
Kila tawi lisozaa matunda,
Baba yangu hulikata.
Kila tawi lizaalo lakini,
Hulichenga kwa makini;
Hulichenga ili lipate zaa
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

ANT. III: Msifuni Bwana, enyi watu wa Yerusalemu.* *Zab.147:12-20 Ni vizuri kumsifu Mungu* Njoo! Mimi nitakuonesha bibi arusi, mkewe Mwana-kondoo! (Ufu.21:9) Ee Yerusalemu, umsifu Mungu!* Umsifu Mungu wako, ee Sion! Maana ameiimarisha milango yako,* amewabariki watu waliomo

ANT. III: Msifuni Bwana, enyi watu wa Yerusalemu.*

*Zab.147:12-20 Ni vizuri kumsifu Mungu*
Njoo! Mimi nitakuonesha bibi arusi, mkewe Mwana-kondoo! (Ufu.21:9)

Ee Yerusalemu, umsifu Mungu!*
Umsifu Mungu wako, ee Sion!

Maana ameiimarisha milango yako,*
amewabariki watu waliomo
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

Mungu Mwenyezi, kama vile tunavyokutolea sifa katika sala yetu hii ya asubuhi, utujalie ili, katika ufalme wako, pamoja na watakatifu wako, tuweze kukusifu kwa furaha kubwa zaidi. Tunaomba hayo kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo, Mwanao, anayeishi na kutawala nawe na Roho

Mungu Mwenyezi, kama vile tunavyokutolea sifa katika sala yetu hii ya asubuhi, utujalie ili, katika ufalme wako, pamoja na watakatifu wako, tuweze kukusifu kwa furaha kubwa zaidi. 

Tunaomba hayo kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo, Mwanao, anayeishi na kutawala nawe na Roho