๐Š๐š๐Š๐š๐Ÿฑโšฝ (@boeshaby) 's Twitter Profile
๐Š๐š๐Š๐š๐Ÿฑโšฝ

@boeshaby

๐ˆ๐“๐Ÿ–ฅ||๐‡๐ž๐š๐ฅ๐ญ๐ก๐‚๐š๐ซ๐žโค๐Ÿงฌ||๐‰๐‘๐’๐ฉ๐จ๐ซ๐ญ๐€๐ง๐š๐ฅ๐ฒ๐ฌ๐ญโ˜‚๏ธŽ

ID: 1594892001257947136

linkhttps://www.youtube.com/@shabyboe49 calendar_today22-11-2022 03:14:39

20,20K Tweet

2,2K Takipรงi

2,2K Takip Edilen

๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

"Wakati nilipoweka picha ya Jay-Z na Diddy wakibusiana, nilisikia Jay-Z alisema alimbusu Diddy kwa bahati mbaya." "Hiyo picha ya Jay-Z na Diddy wakibusiana ipo very intentional, kuna kitu walilenga."- โ€” 50 Cent Soma Zaidi; ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

"Wakati nilipoweka picha ya Jay-Z na Diddy wakibusiana, nilisikia Jay-Z alisema alimbusu Diddy kwa bahati mbaya." 

"Hiyo picha ya Jay-Z na Diddy wakibusiana ipo very intentional, kuna kitu walilenga."-

โ€” 50 Cent

Soma Zaidi; ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Hivi bado msimamo wako kwamba hautaoa mwanamke mwenye mtoto bado upo au ile ilikuwa ni hasira tu? Anyway; Swali la Msingi. Hivi bado hili penzi lipo jamani? au mchezaji na timu wame part ways...

Hivi bado msimamo wako kwamba hautaoa mwanamke mwenye mtoto bado upo au ile ilikuwa ni hasira tu?

Anyway; Swali la Msingi.

Hivi bado hili penzi lipo jamani? au mchezaji na timu wame part ways...
SHALIPOPO ๐Ÿฆ‡ (@jinnyx66) 's Twitter Profile Photo

Hiki kidude Cha kulike "โค๏ธ" skuhizi hakina maana tena wakiondoe au waweke kidude Cha ku hate pia chuki ni nyingi sana

Dullah_theKing๐ŸŽถ (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Acheni kuwapa Presha wasanii wetu na haya maneno ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ "Wewe sasa hivi Bongo umeshamaliza anza kwenda kimataifa" Mtawafanya wanetu waPididiwe sasa ๐Ÿ˜‚

Hustler๐Ÿ‘ฃ (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Unakuaje na website na hujui vitu hivi; -Hujui nani anatembelea website yako? -Hujui mtu huyo anatumia kifaa simu au desktop? -Hujui mtu huyo yuko wapi? -Huna taarifa na mtu gani mpya au wazamani anatembelea website yako? Mkombozi wako wa kujua hayo ni GOOGLE ANALYTICS 4A.

Cyancute โญ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

Breaking News, ๐Ÿ˜ญ Ule wimbo wa nay wamitego umefutwa Kule YouTube nay wamitego mwenyewe ajulikani alipo so sad ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ญ Chapaa REPOST 500 Rais kitaa Arudi ila nyimbo Kali ๐Ÿ˜

Breaking News, ๐Ÿ˜ญ

Ule wimbo wa nay wamitego umefutwa  Kule YouTube  nay wamitego mwenyewe ajulikani alipo so sad ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ญ

Chapaa REPOST 500 Rais kitaa  Arudi  ila nyimbo Kali ๐Ÿ˜
Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Wanangu mnataka kuniua mnanisaka kila chocho wekeni namba hapa chini tumalize kazi mapema tuendelee na mikeka ila Foreni ni ndefu utakachopata ndo hicho hicho.

Wanangu mnataka kuniua mnanisaka kila chocho wekeni namba hapa chini tumalize kazi mapema tuendelee na mikeka ila Foreni ni ndefu utakachopata ndo hicho hicho.
Rastafarian culture (@ireneigora) 's Twitter Profile Photo

Kuna mwamba aliibiwa Kuku Congo alikuwa kawaweka juu kwenye tenga wale wezi walipanda wakaiba baadae wakaja mbele ya kioo kumuonesha kuwa wamechukua kuku wake huku wakicheka na kutokomea ๐Ÿคฃwale wamba washenzi mno

Mrdj๐Ÿ˜‚โœŒ๐Ÿฟ (@mrdj255) 's Twitter Profile Photo

Kipindi tunakua Kesi zetu za utotoni mara utasikia kuhusu kudungua Nazi za watu mkome , Kwenda kuangua maembe mara kuvuna mahindi shambani kwa mzee juma๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ Now days Utasikia matoto ndani yanagombea Chocolate , crips yani taflan ๐Ÿ˜‚