Deogratius (@deogratius_ap) 's Twitter Profile
Deogratius

@deogratius_ap

▪︎ Sharing Tips On Sales & Accounting For Free

ID: 1763523602756816896

calendar_today01-03-2024 11:16:20

553 Tweet

215 Takipçi

51 Takip Edilen

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Millambo® Jiruhusu Kujifunza Vitu Vipya na Kuachilia Pumba Zisizo na Faida tena kwako! Kausha Mifuko yako Sasahivi ili Kukijaza Kichwa Chako ili baadae Kichwa chako Kije Kiijaze Mifuko Yako! . Wekeza Kichwani, Wekeza Kichwani, Wekeza Kichwani

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

1). Vaa Vizuri 2). Nukia Vizuri 3). Nenda Kwenye Hotels Kali (5 star)—Nunua hata Maji Tu 4). Kaa Angalia Jinsi Watu wanavyotumia Pesa, Wanavyofurahia Maisha Huo ni Uwekezaji Mkubwa sana katika MINDSET yako—Baada ya Muda utaanza Kujiona Tofauti Kabisa

Deogratius (@deogratius_ap) 's Twitter Profile Photo

AmosiNyanda Kuna interview ya meneja wa mondi nlikua nasikiliza... Anadai Mondi aliwaambia twende club wanazoenda wao.... Kibaya zaidi... Akawaambia tuagize kama wao wakaanza kugoma... ... ndipo diamond akawaambia kama tunaogopa kuspendi kama wao... HATUTAWAFIKIA KAMWE!

Deogratius (@deogratius_ap) 's Twitter Profile Photo

Life is the Game of Give and Take. Alot of People Want to Take not to Give... They End Up Being Disappointed After They Fail to Take Without Giving Something in Return! Sometimes Giving Is Better Than Taking Sometimes it's Viceversa

Deogratius (@deogratius_ap) 's Twitter Profile Photo

Maisha Hayana Formula Usidhani Ukifuata Mbinu za Aliyetoboa Utatoboa. Sikatai kuna Vitu Utaiga But In a Long Run Utahitaji Motivation Inayotoka Moyoni Tu. Mazingira Usiuoyapenda Yatakuchosha Kwa Muda Mrefu. Acha Kutafuta Formula Anza Kutengeneza Framework Zako.

𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

ONLINE ni ngumu kuwa na steady Income kwa mchongo mmoja, Mchongo mmoja ila uwe na multiple streams za pesa. Mf: We ni Freelance writer, tengeneza channels kwa •Freelance sites🖥️ •Create digital products km Ebooks🎨 •affiliate marketing 🔗 Etc. #MadiniYaGaby

Deogratius (@deogratius_ap) 's Twitter Profile Photo

Sahau Kuhusu MATOKEO Fanya Kile Unachotakiwa Kufanya Tu. Usiwekeze Hisia Kwenye Matokeo Wekeza Kwenye Process Ya Kutimiza Wajibu Wako. Baada Ya Kazi Muda Mrefu Labda Utafanikiwa Kupata Matokeo. Ila Siyo Lazima Upate Ila Kama Ulitimiza Wajibu Wako... ...Jipongeze Kwa HILO

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Copywriting itanipa Kila Kitu Ninachokitaka Ndani ya Miaka 10 Ijayo 1). $1M+ 2). Ndinga Kali 3). Mjengo Mkali 4). Cryptos investment 5). Mke Mzuri Mwenye Akili sio Elimu Kama mentors wangu—Gary halbert & Tedy PS:If My Mentors Did It—I can do it too

Batholomeo Shukran? (@batho_shukran) 's Twitter Profile Photo

Good afternoon, wakuu. Ni siku nyingine ya mapambano. Leo nimeleta setup rahisi sana. Hope kila mtu ataipatia. Tuna-buy au tuna-sell?

Good afternoon, wakuu. 

Ni siku nyingine ya mapambano.

Leo nimeleta setup rahisi sana.

Hope kila mtu ataipatia.

Tuna-buy au tuna-sell?
AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Ushauri Wenye Thamani Zaidi Niliyopewa na Mentor Wangu 2020 ni Huu: 1). Usiwe Copywriter—Kuwa Kwenye Biashara ya Copywriting 2). Gusa Mioyo ya Watu Waachie Akili zao—Kufanikiwa Kwenye Hilo, Jifunze Storytelling 3). Julikana kwa Kundi la Watu sio Kila Mtu