Dr Elizabeth Sanga (@drbsanga) 's Twitter Profile
Dr Elizabeth Sanga

@drbsanga

Health management and Public health specialist
Social business entrepreneur
Spokesperson for Health Sector - ACT Wazalendo
#ACTkiganjani
#Taifakwanza

ID: 1571486403003023361

linkhttp://actwazalendo.or.tz calendar_today18-09-2022 13:09:55

8,8K Tweet

4,4K Takipçi

374 Takip Edilen

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Wawakilishi wa Kata za majimbo ya Mafinga Mjini, Mufindi Kaskazini na Mufindi Kusini Mkoani Iringa. Tunaimarisha chama chetu ⁦ACTWazalendo⁩ mashinani

Wawakilishi wa Kata za majimbo ya Mafinga Mjini, Mufindi Kaskazini na Mufindi Kusini Mkoani Iringa. Tunaimarisha chama chetu ⁦ACTWazalendo⁩ mashinani
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANI: SITAOMBA RADHI, CUF INAKUFA KWELI - ADO "Nimesoma tamko la CUF kunitaka kuomba radhi kwa kauli yangu kuwa CUF inakufa na kuwataka wanachama na viongozi wake waliosalia ambao wana moyo wa mapambano kujiunga na ACTWazalendo. Msimamo wangu ni kuwa sitaomba radhi kwa kauli

#TANZANI: SITAOMBA RADHI, CUF INAKUFA KWELI - ADO
"Nimesoma tamko la CUF kunitaka kuomba radhi kwa kauli yangu kuwa CUF inakufa na kuwataka wanachama na viongozi wake waliosalia ambao wana moyo wa mapambano kujiunga na ACTWazalendo. Msimamo wangu ni kuwa sitaomba radhi kwa kauli
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndugu, Dorothy Semu avuna Wanachama 50 kutoka vyama vya NCCR Mageuzi na TLP katika Jimbo la #Vunjo Mkoani Kilimanjaro. Kiongozi wa Chama amevuna Wanachama hao tarehe 17 Septemba,2024 alipofanya kikao Cha ndani na Viongozi wa Jimbo la Vunjo.

Dotto Rangimoto (@jinikinyonga) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi wa ACTWazalendo Ndugu, Dorothy Semu avuna Wanachama 50 kutoka vyama vya NCCR Mageuzi na TLP katika Jimbo la #Vunjo Mkoani Kilimanjaro. Kiongozi wa Chama amevuna Wanachama hao Septemba 17, 2024 alipofanya kikao cha ndani na Viongozi wa Jimbo la Vunjo. #Miezi10

Kiongozi wa ACTWazalendo Ndugu, Dorothy Semu avuna Wanachama 50 kutoka vyama vya NCCR Mageuzi na TLP katika Jimbo la #Vunjo Mkoani Kilimanjaro. Kiongozi wa Chama amevuna Wanachama hao Septemba 17, 2024 alipofanya kikao cha ndani na Viongozi wa Jimbo la Vunjo.

#Miezi10
Janeth Rithe (@janerithe) 's Twitter Profile Photo

KC ACTWazalendo Ndugu, Dorothy Semu avuna Wanachama 50 kutoka vyama vya NCCR Mageuzi na TLP katika Jimbo la #Vunjo Mkoani Kilimanjaro. Kiongozi wa Chama amevuna Wanachama hao Septemba 17, 2024 alipofanya kikao cha ndani na Viongozi wa Jimbo la Vunjo. #Miezi10 #WanachamaMilioni10

KC ACTWazalendo Ndugu, Dorothy Semu avuna Wanachama 50 kutoka vyama vya NCCR Mageuzi na TLP katika Jimbo la #Vunjo Mkoani Kilimanjaro. Kiongozi wa Chama amevuna Wanachama hao Septemba 17, 2024 alipofanya kikao cha ndani na Viongozi wa Jimbo la Vunjo.
#Miezi10 #WanachamaMilioni10
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Jumla ya wanachama 50 kutoka vyama vya NCCR Mageuzi na TLP wamejiunga ACT Wazalendo, ambapo wanachama hao wamepokelewa Septemba 17.2024 na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu Tukio hilo limetokea kwenye kikao cha ndani cha ACT Wazalendo kilichofanyika jimbo la Vunjo, mkoani

Jumla ya wanachama 50 kutoka vyama vya NCCR Mageuzi na TLP wamejiunga ACT Wazalendo, ambapo wanachama hao wamepokelewa Septemba 17.2024 na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu

Tukio hilo limetokea kwenye kikao cha ndani cha ACT Wazalendo kilichofanyika jimbo la Vunjo, mkoani
The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Police Arrest and Search Home of Opposition Figure Boniface Jacob, Who Has Been Tracking Abduction Cases in Tanzania On September 18, 2024, at around 8:22 pm, Boniface Jacob, a former mayor of Dar es Salaam and a prominent opposition figure from the CHADEMA party, known

Tanzania Police Arrest and Search Home of Opposition Figure Boniface Jacob, Who Has Been Tracking Abduction Cases in Tanzania

On September 18, 2024, at around 8:22 pm, Boniface Jacob, a former mayor of Dar es Salaam and a prominent opposition figure from the CHADEMA party, known
MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe ametoa rai kwa wajumbe waliohudhuria kongamano la kujadili Hali ya Demokrasia Nchini ambalo limeandaliwa na Kituo cha Demokrasia nchini (TCD), kuwa wa kweli wakati wakichangia kwenye mjadala huo, kwa kuwa

Samira Hamis (@samirahamis) 's Twitter Profile Photo

Wakazi wa Hondohondo Jimbo la Kilindi Mkoani Tanga wamelalamika mbele ya KC Dorothy Semu juu ya ukosefu wa shule katika Kitongoji chao. Kiongozi wa ACTWazalendo alifanya ziara ya majimbo ya Mkoa Tanga na kusikiliza kero za Wananchi. #WanachamaMilioni10 #Miezi10

Samira Hamis (@samirahamis) 's Twitter Profile Photo

"Sera zilizopo hazina uwezo tena! Vijana mtaani hawana ajira, CCM imeshindwa kuzalisha ajira." Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Vijana, Kazi na Ajira Mhandisi Ndolezi #Miezi10 #WanachamaMilioni10 ACTWazalendo

ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Tunaitaka mamlaka ya uteuzi kutengua uteuzi wa Afisa Mdhamini wa Wizara ya, Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba. Taarifa ya Msemaji wa Sekta ya Utumishi Umma na Maadi ya Viongozi - Zanzibar

Tunaitaka mamlaka ya uteuzi kutengua uteuzi wa Afisa Mdhamini wa Wizara ya, Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba.

Taarifa ya Msemaji wa Sekta ya Utumishi Umma na Maadi ya Viongozi - Zanzibar
Janeth Rithe (@janerithe) 's Twitter Profile Photo

"Sera zilizopo hazina uwezo tena! Vijana mtaani hawana ajira, CCM imeshindwa kuzalisha ajira." Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Vijana, Kazi na Ajira Mhandisi Ndolezi #Miezi10 #WanachamaMilioni10 ACTWazalendo

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Naibu Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Bara, Esther Thomas, ametoa wito wa kuimarisha juhudi za kulinda demokrasia nchini Tanzania huku akipongeza juhudi zilizofanyika tangu enzi za waasisi wa taifa kwa kupigania demokrasia, ikiwamo kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi vya

Naibu Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Bara, Esther Thomas, ametoa wito wa kuimarisha juhudi za kulinda demokrasia nchini Tanzania huku akipongeza juhudi zilizofanyika tangu enzi za waasisi wa taifa kwa kupigania demokrasia, ikiwamo kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi vya
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

Naibu Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas, ametoa wito wa kuimarisha juhudi za kulinda demokrasia nchini Tanzania huku akipongeza juhudi zilizofanyika tangu enzi za waasisi wa taifa kwa kupigania demokrasia, ikiwamo kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi vya