Joti (@jotiofficial) 's Twitter Profile
Joti

@jotiofficial

Tanzania's Comedian

ID: 597190452

linkhttp://joti.co.tz calendar_today02-06-2012 05:15:24

47,47K Tweet

583,583K Takipçi

160 Takip Edilen

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

𝐀𝐍𝐀𝐉𝐀𝐋𝐈 𝐀𝐍𝐀𝐓𝐇𝐀𝐌𝐈𝐍𝐈 𝐀𝐍𝐀𝐓𝐄𝐊𝐄𝐋𝐄𝐙𝐀. #MamaYukoKazini

𝐀𝐍𝐀𝐉𝐀𝐋𝐈

𝐀𝐍𝐀𝐓𝐇𝐀𝐌𝐈𝐍𝐈

𝐀𝐍𝐀𝐓𝐄𝐊𝐄𝐋𝐄𝐙𝐀.

#MamaYukoKazini
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐁𝐎𝐑𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐎 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐊𝐔𝐋𝐈𝐌𝐀 𝐈𝐍𝐀𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄𝐀. #MamaYukoKazini

𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐁𝐎𝐑𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐎 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐊𝐔𝐋𝐈𝐌𝐀 𝐈𝐍𝐀𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄𝐀.

#MamaYukoKazini
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimewasili jijini Beijing nchini China kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika. Aprili 26 mwaka huu, Tanzania na China zilitimiza miaka 60 ya mahusiano ya kidiplomasia. Imekuwa miaka 60 ya mahusiano ya kimkakati yenye tija

Nimewasili jijini Beijing nchini China kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika. 

Aprili 26 mwaka huu, Tanzania na China zilitimiza miaka 60 ya mahusiano ya kidiplomasia. Imekuwa miaka 60 ya mahusiano ya kimkakati yenye tija
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

𝐌𝐀𝐙𝐈𝐍𝐆𝐈𝐑𝐀 𝐁𝐎𝐑𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐅𝐔𝐍𝐙𝐈 𝐊𝐔𝐉𝐈𝐅𝐔𝐍𝐙𝐀 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐋𝐈𝐌𝐔 𝐊𝐔𝐅𝐔𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐈𝐀. #MamaYukoKazini

𝐌𝐀𝐙𝐈𝐍𝐆𝐈𝐑𝐀 𝐁𝐎𝐑𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐅𝐔𝐍𝐙𝐈 𝐊𝐔𝐉𝐈𝐅𝐔𝐍𝐙𝐀 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐋𝐈𝐌𝐔 𝐊𝐔𝐅𝐔𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐈𝐀.

#MamaYukoKazini
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

📍 Morogoro, Chuo cha Ualimu - Dakawa 𝐄𝐋𝐈𝐌𝐔 𝐁𝐎𝐑𝐀 𝐈𝐍𝐀𝐓𝐎𝐊𝐀𝐍𝐀 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐀𝐍𝐃𝐀𝐋𝐈𝐙𝐈 𝐁𝐎𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐖𝐀𝐋𝐈𝐌𝐔. #MamaYukoKazini

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

📍Meserani, Arusha #SautiZaWananchi | "Kwa zaidi ya miaka 30 hatukuwa na maji lakini sasa tunapata maji safi na salama." #MamaYukoKazini

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo nikiwa na Rais Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Xi Jinping na Rais wa Jamhuri ya Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema, pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika. Kwa pamoja, tumeshuhudia uwekaji saini wa

Mapema leo nikiwa na Rais Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Xi Jinping na Rais wa Jamhuri ya Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema, pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika.

Kwa pamoja, tumeshuhudia uwekaji saini wa
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

𝐒𝐀𝐒𝐀 𝐇𝐔𝐃𝐔𝐌𝐀 𝐙𝐀 𝐀𝐅𝐘𝐀 𝐍𝐈 𝐔𝐇𝐀𝐊𝐈𝐊𝐀 𝐒𝐀𝐒𝐀 𝟐𝟒. #MamaYukoKazini

𝐒𝐀𝐒𝐀 𝐇𝐔𝐃𝐔𝐌𝐀 𝐙𝐀 𝐀𝐅𝐘𝐀 𝐍𝐈 𝐔𝐇𝐀𝐊𝐈𝐊𝐀 𝐒𝐀𝐒𝐀 𝟐𝟒.

#MamaYukoKazini
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

📍Meserani, Arusha #SautiZaWananchi | "Tuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu pamoja na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutuletea maji hapa kijijini kwetu." #MamaYukoKazini

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

𝐔𝐎𝐍𝐆𝐎𝐙𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐎𝐓𝐈𝐌𝐈𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐋𝐀𝐇𝐈 𝐘𝐀 𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐍𝐀 𝐊𝐔𝐉𝐀𝐋𝐈 𝐀𝐅𝐘𝐀 𝐙𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐍𝐂𝐇𝐈. #MamaYukoKazini

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

"Uwepo wetu hapa leo unaonesha mshikamano na dhamira ya kujenga mustakabali wa pamoja wa maendeleo na ustawi. Tufanye kazi pamoja kwa ubunifu wenye tija kijamii na kiuchumi kwa manufaa ya nchi zetu." - Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan #MamaYukoKazini #ZiaraYaMamaChina

"Uwepo wetu hapa leo unaonesha mshikamano na dhamira ya kujenga mustakabali wa pamoja wa maendeleo na ustawi. Tufanye kazi pamoja kwa ubunifu wenye tija kijamii na kiuchumi kwa manufaa ya nchi zetu." - Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

#MamaYukoKazini
#ZiaraYaMamaChina
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

"Taifa la China limekuwa mshirika wa kweli katika mapambano yetu dhidi ya umaskini na juhudi za kuyafikia maendeleo. Alama za China kwenye mataifa yetu zinaonekana dhahiri katika maboresho ya miundombinu, ukuaji wa kasi wa viwanda, na maendeleo ya biashara ndogo na za kati." -

"Ushirikiano wa China na mataifa ya Afrika utasaidia kuimarisha maendeleo katika nyanja mbalimbali na kutuletea maendeleo ya kisasa. Tunapongeza mwelekeo mpya wa mahusiano ya China na Afrika katika kutatua kwa pamoja changamoto za kiuchumi, kijamii na kiteknolojia." - Mheshimiwa

𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐌𝐀 𝐊𝐔𝐈𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐍𝐂𝐇𝐈 𝐈𝐍𝐀𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄𝐀. #MamaYukoKazini

𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐌𝐀 𝐊𝐔𝐈𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐍𝐂𝐇𝐈 𝐈𝐍𝐀𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄𝐀.

#MamaYukoKazini