๐‘ ๐š ๐ ๐ข ๐ฎ ๐ฌ (@nshomileog) 's Twitter Profile
๐‘ ๐š ๐ ๐ข ๐ฎ ๐ฌ

@nshomileog

Tech enthusiast | #Bitcoin believer | Lover of humor | Engaging with my community and Twitter fam | #Community, football โšฝ๏ธ

ID: 2322361423

calendar_today01-02-2014 13:50:43

16,16K Tweet

6,6K Takipรงi

5,5K Takip Edilen

Marc (@mchache_tz) 's Twitter Profile Photo

Naomba Quote | Repost yako๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ”ฅ Leather sandals threads...๐Ÿงต Delivery ๐Ÿ‘๐Ÿฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ For Inquires ๐Ÿ“ฉโ˜Ž๏ธ+255(0)715531843 Dar-es-salaam Tanzania.

Naomba Quote | Repost yako๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ”ฅ

Leather sandals threads...๐Ÿงต

Delivery ๐Ÿ‘๐Ÿฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
For Inquires ๐Ÿ“ฉโ˜Ž๏ธ+255(0)715531843
Dar-es-salaam Tanzania.
innosrema (@innosrema) 's Twitter Profile Photo

Japo kuwa English wengi ni tatizo kwetu ila Jifunze kujiweke kitofauti na wengine ,Haya Ni Maneno Kutoka BASIC vs ADVANCED ENGLISH ๐Ÿ—ฃ

Japo kuwa English wengi ni tatizo kwetu ila Jifunze kujiweke kitofauti na wengine ,Haya Ni Maneno Kutoka 

BASIC vs ADVANCED ENGLISH ๐Ÿ—ฃ
Lil_Dee๐Ÿ˜… (@lil_dee06) 's Twitter Profile Photo

๐‰๐ฎ๐ฆ๐š๐ฉ๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐ฃ๐ž๐ฆ๐š, ๐ญ๐ฎ๐ฉ๐š๐ญ๐ž ๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ข ๐ง๐ง๐ž (๐Ÿ’) ๐ณ๐š ๐ฉ๐ข๐œ๐ก๐š ๐ก๐š๐ฉ๐š. ๐’๐ญ๐จ๐ซ๐ข : ๐Œ๐๐จ๐ฅ๐ข ๐”๐ฅ๐ข๐จ๐š๐œ๐ก๐ข๐ค๐š

๐‰๐ฎ๐ฆ๐š๐ฉ๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐ฃ๐ž๐ฆ๐š, ๐ญ๐ฎ๐ฉ๐š๐ญ๐ž ๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ข ๐ง๐ง๐ž (๐Ÿ’) ๐ณ๐š ๐ฉ๐ข๐œ๐ก๐š ๐ก๐š๐ฉ๐š.

๐’๐ญ๐จ๐ซ๐ข : ๐Œ๐๐จ๐ฅ๐ข ๐”๐ฅ๐ข๐จ๐š๐œ๐ก๐ข๐ค๐š
Zagy G โœจ (@zagygirl) 's Twitter Profile Photo

Leo tena tuna MATUMAINI kupitia Odds. App: SPORTYBET CODE: D373339 ODDS: 9.0 App: SPORTYBET CODE: 81504FC ODDS: 11.89 ~Chagua mmoja ishi nao kishujaa. ~Mechi zitaanza saa 15:00 NB: *Betting haitaki hasira*

Andri๐• (@andrixupdates) 's Twitter Profile Photo

Mmh yaani Asake wa juzi ana ujaza uwanja wa uingereza๐Ÿ™† Hivi hawa jamaa wana fanyaje kujaza kiasi hicho Angalia kwanza Wanavyo peana Support ๐Ÿฅถ Tuna safari ndefu sana Kushindana na hawa watu Video kwa comment ๐Ÿ‘‡

Mmh yaani Asake wa juzi  ana ujaza uwanja wa uingereza๐Ÿ™†

Hivi hawa jamaa wana fanyaje kujaza kiasi hicho

Angalia kwanza Wanavyo peana Support ๐Ÿฅถ

Tuna safari ndefu sana Kushindana na hawa watu

Video kwa comment ๐Ÿ‘‡
Lil_Dee๐Ÿ˜… (@lil_dee06) 's Twitter Profile Photo

Baada ya bosi kusema yoyote atakayeweza kuingiza mpira kwenye kikombe, wanatoka wote ofisini mapema. Kilichofuata...๐Ÿ‘‡

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Kwa sasa huyu ndo Kipa bora duniani. David Raya ametuokoa sana dhidi ya Man City baada ya kulazimika kucheza zaidi ya dakika 45 tukiwa pungufu. Yote kwa yote mbinu za Marefa kuizuia Arsenal kuwa bingwa bado zinaendelea, ila haina shaka Man City tutakutana tena.

Kwa sasa huyu ndo Kipa bora duniani. David Raya ametuokoa sana dhidi ya Man City baada ya kulazimika kucheza zaidi ya dakika 45 tukiwa pungufu. Yote kwa yote mbinu za Marefa kuizuia Arsenal kuwa bingwa bado zinaendelea, ila haina shaka Man City tutakutana tena.
L A S T K I N G โ„ข (@worldwideg7) 's Twitter Profile Photo

UZI HUU UNAKULETEA NCHI MASIKINI ZAIDI AFRIKA. UNGANA NAMI NAMBA MOJA ITAKUSHANGAZA Bara la Afrika linatajwa kuwa maskini zaidi duniani, huku umaskini wa bara hilo ukichangiwa na hali ya uchumi kuyumba, ukosefu wa usalama, ufisadi, vita vya wenyewe kwa wenyewe na vitendo vya

Enocs# (@enocksedek12790) 's Twitter Profile Photo

BAADHI YA SERIES ZINAZOSUBILIWA MWENDELEZO KWA KUACHA WATU NJIA PANDA Twende pamoja UZI๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ 1. GYEONG SEONG CREATURE

BAADHI YA SERIES ZINAZOSUBILIWA MWENDELEZO KWA KUACHA WATU NJIA PANDA

Twende pamoja UZI๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

1. GYEONG SEONG CREATURE
kamdudu (@_kamdudu) 's Twitter Profile Photo

UKUBWA WA ULIMWENGU (UNIVERSE) SEHEMU YA TISA Dunia ni Sayari yetu inayojulikana kama "Earth" ni moja katika Sayari 8 zinazozunguka Jua (Sun) katika mfumo maalum unaoitwa mfumo wa jua (Solar system). Ulimwengu (Universe) unajumuisha anga lote, muda wote, pamoja na mada na

UKUBWA WA ULIMWENGU (UNIVERSE)

SEHEMU YA TISA 

Dunia ni Sayari yetu inayojulikana kama "Earth" ni moja katika Sayari 8 zinazozunguka Jua (Sun) katika mfumo maalum unaoitwa mfumo wa jua (Solar system).

Ulimwengu (Universe) unajumuisha anga lote, muda wote, pamoja na mada na
๐‘ ๐š ๐ ๐ข ๐ฎ ๐ฌ (@nshomileog) 's Twitter Profile Photo

Vijana wengi wa sasa wanajikuta wanateseka zaidi na mapenzi kuliko kazi au maisha kwa ujumla. Jamani, ni lini tutaacha kuruhusu mioyo yetu kuvunjwa bila sababu?

Vijana wengi wa sasa wanajikuta wanateseka zaidi na mapenzi kuliko kazi au maisha kwa ujumla. 

Jamani, ni lini tutaacha kuruhusu mioyo yetu kuvunjwa bila sababu?
kamdudu (@_kamdudu) 's Twitter Profile Photo

SAFARI KUZUNGUKA MILKWAY GALAXY Itakubidi utumie takribani miaka 100000 hadi 200000,yani mita (9.461ร—10^20 - 1.892 ร—10^21) ili kutoka nje ya galaksi ya milkway. Ikiwa kama ni kipenyo chake,uzito wa Galaksi yetu ni mara trilioni 1.5 ya uzito wa Jua. Kwa haraka haraka

SAFARI KUZUNGUKA MILKWAY GALAXY

Itakubidi utumie takribani miaka 100000 hadi  200000,yani mita  (9.461ร—10^20 - 1.892 ร—10^21) ili kutoka nje ya galaksi ya milkway.

Ikiwa kama  ni kipenyo chake,uzito wa Galaksi yetu ni  mara trilioni 1.5 ya uzito wa Jua.

Kwa haraka haraka