𝐏𝐫𝐨𝐟 𝐔𝐭𝐚𝐣𝐮𝐚 𝐇𝐮𝐣𝐮𝐢 (@profutajuahujui) 's Twitter Profile
𝐏𝐫𝐨𝐟 𝐔𝐭𝐚𝐣𝐮𝐚 𝐇𝐮𝐣𝐮𝐢

@profutajuahujui

𝐀𝐜𝐭𝐢𝐯𝐢𝐬𝐭 | 𝐅𝐨𝐥𝐥𝐨𝐰 𝐈𝐧𝐬𝐭𝐚𝐠𝐫𝐚𝐦 👉 instagram.com/prof_utajua_hu… |
𝐅𝐚𝐜𝐞𝐛𝐨𝐨𝐤❌

ID: 1504390687286038530

calendar_today17-03-2022 09:34:43

64,64K Tweet

744 Takipçi

81 Takip Edilen

𝐏𝐫𝐨𝐟 𝐔𝐭𝐚𝐣𝐮𝐚 𝐇𝐮𝐣𝐮𝐢 (@profutajuahujui) 's Twitter Profile Photo

Jana baada ya bunge kubariki utekaji ! Leo baada ya mahakama kuu kubariki utekaji! Nimeingia Kwa dukani Kwa mangi kujipatia angalau kiwembe hiki kama dhana ya kujiweka tayari kwa lolote maana hakuna chombo kinacholinda wananchi , bunge limetukataa, mahakama imekanusha utekaji

Jana baada ya bunge kubariki utekaji !
Leo baada ya mahakama kuu kubariki utekaji!
Nimeingia Kwa dukani Kwa mangi kujipatia angalau kiwembe hiki kama dhana ya kujiweka tayari kwa lolote maana hakuna chombo kinacholinda wananchi , bunge limetukataa, mahakama imekanusha utekaji