SPANA (@vanillahmusic_) 's Twitter Profile
SPANA

@vanillahmusic_

Musician from East Africa - Tanzania | Signed Under Kings Music Records Label

ID: 1037273643108192256

linkhttps://linktr.ee/vanillahmusic calendar_today05-09-2018 09:38:02

1,1K Tweet

3,3K Followers

73 Following

SPANA (@vanillahmusic_) 's Twitter Profile Photo

Eeh bana eeh goma letu limepaa hadi namba 12 kwenye #Air20 ya Crown Media πŸ”₯ Keep streaming #ForMe on all digital platforms, link kwenye bio. Cc @amfrankfrank & γƒžγƒ³γƒˆγƒ«

Eeh bana eeh goma letu limepaa hadi namba 12 kwenye #Air20 ya <a href="/CrownMediaTZ/">Crown Media</a> πŸ”₯

Keep streaming #ForMe on all digital platforms, link kwenye bio.

Cc @amfrankfrank &amp; <a href="/cj_tz/">γƒžγƒ³γƒˆγƒ«</a>
SPANA (@vanillahmusic_) 's Twitter Profile Photo

Nyimbo mpya ni nyingi ila hili goma ni kiboko πŸ₯‡πŸ˜€ #Forme ft @barnabaclassic πŸŽ₯ @gunner_visa #ForMe🌺 LinkπŸ”—πŸƒ youtu.be/boNu-f00w70?si…

SPANA (@vanillahmusic_) 's Twitter Profile Photo

Kama kuna mbobezi katika suala la ushenga hapa Kilimanjaro anisaidie twende kwa wawazazi wa mtoto wa mtu nikaopoe jiko tafadhali πŸ™ƒ

Kama kuna mbobezi katika suala la ushenga hapa Kilimanjaro anisaidie twende kwa wawazazi wa mtoto wa mtu nikaopoe jiko tafadhali πŸ™ƒ
SPANA (@vanillahmusic_) 's Twitter Profile Photo

Baada ya hili goma masikini ya Mungu wimbo wangu mpya unaofuata ni mkali sana wallahi πŸ™†β€β™‚οΈ Link on bio πŸ“

SPANA (@vanillahmusic_) 's Twitter Profile Photo

Nitajie couple yako pendwa ambayo unatamani isikosekane kwenye remix ya huu wimbo nami nitapita nayo πŸ“Œ FORME🌺 πŸ› οΈFORMEREMIXπŸ’₯

SPANA (@vanillahmusic_) 's Twitter Profile Photo

Na ninawajuza hii ni moja ya korabo ambayo mmeitaka nakuitamani ifanyike kwa muda mrefu sana SPANA FEATURING ANOTHER RECORD LABEL

Na ninawajuza hii ni moja ya korabo ambayo mmeitaka nakuitamani ifanyike kwa muda mrefu sana SPANA FEATURING ANOTHER RECORD LABEL
SPANA (@vanillahmusic_) 's Twitter Profile Photo

Unayajua macho ya Nurulaini wewe ?😍 Ila haka ka wimbo hata kama hauko penzini ukisikiliza ni una-feel kama uko penzini tu πŸ₯° #FORME

SPANA (@vanillahmusic_) 's Twitter Profile Photo

Mc utakaehusika kwenye sherehe ya harusi yangu nakuambia mapema kabisa ogopa matapeli huu ndo wimbo wangu wakuingilia ukumbini ambia Dj anichapie #FORME🌺

SPANA (@vanillahmusic_) 's Twitter Profile Photo

Kheri ya siku ya kuzaliwa kaka yangu @_kusah_ Na kheri iendelee kua sambamba nanyi siku zote inshaallah @auntyezekiel & @_kusah_