winharder_
@winharder_
Entrepreneur/ Teacher/ SocialMediaInfluencer/ Safe Online Space Diplomat / #SOSDiplomats #UstawiSalamaMtandaoni #RoadSafetyAmbassador/ #YangaSc
ID:911201550965645313
http://linkedin.com/in/winharder- 22-09-2017 12:12:33
116,3K Tweets
14,0K Followers
6,9K Following
Kama kweli unampenda, kumiliki nyumba ya thamani kwa ubora wa paa zake, miliki na mabati yenye muonekano wa vigae ya #Romantile #Versatiles #Lugobatiles .
Rawi Investment tunakufikishia unapata kilicho bora kutoka kiwandani, usafiri ni bure Tanzania nzima.
☎️WhatsApp 0678013639
imelenga kuhimiza jamii juu ya haki za mtoto wa kike ulimwenguni kote na kupiga ukatili dhidi ya mtoto wa kike.
~Mgeni rasmi
#GirlChild2022
#GirlChild2022
' Kila Tarehe 11 October Tanzania na mataifa mengine duniani yanaadhimisha siku ya mtoto wa kike kauli mbiu ya maadhimisho haya mwaka yenye maneno yasemayo haki zetu ni hatima zetu wakati ni sasa kauli mbiu hii
Innovation is the new way of thinking or creation of new ideas
- Ghati Horombe, UNDP Tanzania
#WikiYaAzaki2022
#CSOWeek2022
Ndoa za utotoni ni changamoto kwa maendeleo ya binti hupelekea athari za kiafya kwa mabinti kwa kuwa wengi hupata mimba wakiwa bado na umri mdogo huku miili yao ikiwa haijapata uwezo wa kubeba mimba na kujifungua salama binti.tz
#NilindeKwanza
UNICEF Tanzania
Kutokana na uzalishaji wa Bidhaa Bora WATERCOM imechaguliwa na ccawardsafrica kuwania Tuzo kipengele cha
📍Most Consumer-Friendly Soft Drink (MAJI)
📍Most Preffered Soft Drink (Juice)
Wapigie kura hapa 👉 ccawardsafrica.co.tz
#VoteForAfya
haki zetu ni hatima zetu wakati ni sasa.
Joyce
Mkurugenzi mkuu women and youth initiatives
#GirlChild2022
#GirlChild2022
'Leo katika kuadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani tunaendelea kutoa semina za kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto wa kike na wanawake na kutoa elimu juu ya hedhi salama kwa wasichana '
na kama watoto wa kike kutambua haki zetu na kutimiza wajibu wetu kama mabinti.
~| Madam Maloshi
#GirlChild2022
#GirlChild2022
'Leo tuko hapa kuadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani kama umoja wa mataifa ulivyotambua umuhimu wa siku hii ikilenga zaidi ulinzi, haki na ustawi wa mtoto wa kike, leo tunakumbushwa kama jamii kama wadau