Balyx
@Balyx_
On 18th of December 2022, I witnessed MESSI WINNING A WORLD CUP☝️ Messi, Martial, FDJ
ID:1229683405358608386
18-02-2020 08:26:00
194,3K Tweets
140,8K Followers
6,0K Following
Follow People
Zimebaki siku chache Sana Platform mpya izunduliwe SiasaZetu kaa mkao wa kula kupata Madini mengi
Haswa kipindi hiki tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa.
#SiasaZetu #SiasaNiMaendeleo #SiasaNiWananchi
Watumishi inawahusu hii
Mkopo wa hadi Tsh Milioni 200. ndani ya saa 24 tu bila kujaza fomu wala bila kuja benki.
Tembelea ess.utumishi.go.tz kisha chagua CRDB Bank kuvuta pesa Leo.
#SwahibaLanguLako
Tuzo ya Mwajiri Bora wa Mwaka inatokana na tafiti ambazo zinamuongoza Mshauri Mwelekezi kufuatila kwa umakini mazingira ya Mwajiri kama yana vigezo ambavyo vinajazwa katika Dodoso. Suzanne Ndomba-Doran (Adv.)
#EYA2024 #Dress2Impress #OldIsGold #Back2The70s
Tuzo ya Mwajiri Bora wa Mwaka imeendelea kuwa tukio muhimu katika kalenda za Waajiri nchini ambapo kwa miaka kadhaa sasa tuzo hizi zimendelea kuhamasisha Waajiri kuweka juhudi katika usimamizi wa rasilimali watu.~ Suzanne Ndomba-Doran (Adv.)
#EYA2024 #Dress2Impress #OldIsGold #Back2The70s
Leo tarehe 30, Mei 2024 Mkurugenzi Mkuu wa ATE, Bi Suzzane Suzanne Ndomba-Doran amefanya kikao na wahandishi wa habari kuzindua mchakato wa Tuzo za Mwajiri bora wa mwaka 2024.
#EYA2024 #Dress2Impress #OldIsGold #Back2The70s
ATE imeingia Mkataba na kampuni ya AUDITAX International, leo imewakilishwa na Bw. Straton Makundi. Kampuni ya Auditax International itaratibu mchakato wa Kumtafuta Mwajiri Bora wa mwaka 2024. - Suzanne Ndomba-Doran (Adv.)
#EYA2024 #Dress2Impress #OldIsGold #Back2The70s
Nahitimisha kwa kuwasihi Wanachama wetu kutembelea tovuti yetu ya tuzo ya Mwaajiri Bora, itakayowaongoza mpaka kwenye dodoso lililoko mtandaoni. -
Suzanne Ndomba-Doran (Adv.)
#EYA2024 #Dress2Impress #OldIsGold #Back2The70s
Niwaombe Waajiri wajitokeze kwa wingi kushiriki katika mchakato huu wa kumtafuta Mwajiri Bora wa Mwaka ambaye atatangazwa rasmi katika tukio la utoaji wa Tuzo hizi litakalofanyika wiki ya kwanza ya mwezi Disemba 2024. Suzanne Ndomba-Doran (Adv.)
#EYA2024 #Dress2Impress #OldIsGold #Back2The70s
Mpira ni hisia.
Na kwa kuheshimu hisia za wapenda soka DStv inakuletea burudani ya EURO 2024 kwenye sebule yako ama kwa kutumia DStv Stream kiganjani kwako!!
Mechi zote 51 zitakuwa live 🔥!!
Kujiunga ni *150*53 !!! #MfalmeWaBoma
#GoalMachine Jhonier Blanco, ni mshambuliaji wa viwango, alikuwa mfungaji bora wa Ligi Daraja la Kwanza nchini Colombia (Categoría Primera) akiwa na Fortaleza CEIF, akifunga mabao 13, msimu uliopita 2022/23.
👇👇👇
Wee Kama una chombo cha moto mwanangu onyesha funguo🔑!
Kamilisha bili zako zote na malipo ya Serikali bila makato kwa CRDB SimBanking muda wowote mahali popote
Kimbiza miamala mingi zaidi kupitia SimBanking 📱ukimbize bajaji🛺
Piga *150*03# au Pakua App
#SwahibaLanguLako