Charity Flora✨ (@charityflora1) 's Twitter Profile
Charity Flora✨

@charityflora1

Dear Self...... I Wanna See You Win |
Gift Beyond Gifted

ID: 1122556746113921024

calendar_today28-04-2019 17:42:39

38,38K Tweet

7,7K Followers

575 Following

m.s.a.k.i+ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Mikato mikali ya suti utaipata hapa suit_mseleleko pekee! Hapa kuna suti kali tena original zenye mitindo tofauti kwa shilingi 180,000 tu. Chimbo la suti kali, original na accessories !. >Three pieces(koti, suruali na kizibao): 180,000 >Shirt: 30,000 >Chain: 10,000 >Ua:

Mikato mikali ya suti utaipata hapa <a href="/suitmseleleko/">suit_mseleleko</a> pekee! Hapa kuna  suti kali tena original zenye mitindo tofauti kwa shilingi 180,000  tu. Chimbo la suti kali, original na accessories !.

&gt;Three pieces(koti, suruali na kizibao): 180,000

&gt;Shirt: 30,000
&gt;Chain: 10,000
&gt;Ua:
John kalage 🇹🇿 (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Huyo Binti ambae nimeweka taarifa zake hapo kwenye Post yangu niliyo pin ndio huyu. Anapitia changamoto ambayo mimi binafsi imenigusa. Naomba msaada wako. 0616663627 Twaha yusuph mselewa

Huyo Binti ambae nimeweka taarifa zake hapo kwenye Post yangu niliyo pin ndio huyu.

Anapitia changamoto ambayo mimi binafsi imenigusa.

Naomba msaada wako.

0616663627 Twaha yusuph mselewa
SantaPrint (@santaprint_tz) 's Twitter Profile Photo

Kama wewe ni sehemu ya timu au kikundi kinachotafuta njia ya kuwasiliana na umma kwa njia ya kipekee au kujenga ufahamu wa chapa(Brand) yenu, SantaPrint Tunakusaidia kupitia huduma yetu ya kuprint T-shirt na branding materials mbalimbali kueneza ujumbe wako na kujenga

Kama wewe ni sehemu ya timu au kikundi kinachotafuta njia ya kuwasiliana na umma kwa njia ya kipekee au kujenga ufahamu wa chapa(Brand) yenu,

<a href="/SantaPrint_tz/">SantaPrint</a> Tunakusaidia kupitia huduma yetu ya kuprint T-shirt na branding materials mbalimbali kueneza ujumbe wako na kujenga
Julieth Sebba Bilakwate, MD (@juliethsebbamd) 's Twitter Profile Photo

Kumekua na maswali jamii kutaka kujua kwa nini wao wahusishwe mfano; watafiti wanapotembelea majumbani kuomba taarifa “Je hizi tafiti ni salama kwetu?” Episode hii ya Doctor Rafiki tunazungumza #CommunityEngagement katika kuboresha tafiti za afya. Link;youtu.be/T55Oicnoi4U?si…

Kumekua na maswali jamii kutaka kujua kwa nini wao wahusishwe mfano;  watafiti wanapotembelea majumbani kuomba taarifa “Je hizi tafiti ni salama kwetu?”

Episode hii ya Doctor Rafiki tunazungumza #CommunityEngagement katika kuboresha tafiti za afya.

Link;youtu.be/T55Oicnoi4U?si…
Mishy🇲🇫 (@sharonmontana20) 's Twitter Profile Photo

Pichani ni mtoto SHADRACK MTIMIZI anayesumbuliwa na tatizo la moyo linalopelekea tumbo lake kuvimba na kuzimia mara kwa mara Unaweza kumshika mkono mama mzazi wa Shadrack kwa kumuwezesha gharama za kumhudumia mwanae apate tiba kwa namba 0766401682: ALLY MILANZI

Pichani ni mtoto SHADRACK MTIMIZI anayesumbuliwa na tatizo la moyo linalopelekea tumbo lake kuvimba na kuzimia mara kwa mara 

Unaweza kumshika mkono mama mzazi wa Shadrack kwa kumuwezesha gharama za kumhudumia mwanae apate tiba kwa namba 

0766401682: ALLY MILANZI
John kalage 🇹🇿 (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Mbarikiwe sana wote mliotoa michango awali na kushare ile post, Ahsante Sana Kaka Wheelchair tayari imefika, Ubarikiwe Sana. Tabasam ni kubwa sana kwa huyu Binti. 🙏❤️

Mbarikiwe sana wote mliotoa michango awali na kushare ile post, Ahsante Sana Kaka Wheelchair tayari imefika, Ubarikiwe Sana. 

Tabasam ni kubwa sana kwa huyu Binti. 🙏❤️
Faridah Ally (@faridahally2) 's Twitter Profile Photo

Yesterday, at the #SummitOfTheFuture I had the honor of speaking at a powerful Fireside Chat on how responsible leadership education can address the climate crisis and digital transformation by UN Global Compact

Yesterday, at the #SummitOfTheFuture I had the honor of speaking at a powerful Fireside Chat on how responsible leadership education can address the climate crisis and digital transformation by <a href="/globalcompact/">UN Global Compact</a>
SantaPrint (@santaprint_tz) 's Twitter Profile Photo

Biashara ni vita kamili(Total War), kwenye soko hili la ushindani(Competitive market) hakuna kitu kinaitwa "Fair Play" Ukiwa kwenye biashara lazima uijue nguvu ya mpinzani wako ili ufahamu namna ya kukabiliana nae. Ujue kete ipi itoke na kwa wakati upi? Ufahamu nyakati za

Biashara ni vita kamili(Total War), kwenye soko hili la ushindani(Competitive market) hakuna kitu kinaitwa "Fair Play" 

Ukiwa kwenye biashara lazima uijue nguvu ya mpinzani wako ili ufahamu namna ya kukabiliana nae. 

Ujue kete ipi itoke na kwa wakati upi? Ufahamu nyakati za
Ishengoma Irene (@ishengomairene) 's Twitter Profile Photo

Katika uzinduzi wa filamu fupi ya NAFASI yenye dhamira kuu #ArudiShule 📌 #JamiiPamoja tuelimishe vijana wawapo shuleni juu ya kuzuia mimba zisizotarajiwa. 📌Pia, Tutokomeze unyanyapaa juu ya binti aliyebeba mimba akiwa mwanafunzi na kupata nafasi ya pili ya kuendelea na masomo.

Katika uzinduzi wa filamu fupi ya NAFASI yenye dhamira kuu #ArudiShule 
📌 #JamiiPamoja tuelimishe vijana wawapo shuleni juu ya kuzuia mimba zisizotarajiwa.
📌Pia, Tutokomeze unyanyapaa juu ya binti aliyebeba mimba akiwa mwanafunzi na kupata nafasi ya pili ya kuendelea na masomo.
Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Jumapili ya leo usiwaze kuhusu kwenda benki sogea kwa CRDB Wakala Sajili SimBanking Toa au weka pesa Kata Bima Lipa Bili na malipo kama Luku, king'amuzi, maji na mengineyo. #SwahibaLanguLako

Jumapili ya leo usiwaze kuhusu kwenda benki sogea kwa CRDB Wakala

Sajili SimBanking
Toa au weka pesa
Kata Bima
Lipa Bili na malipo kama Luku, king'amuzi, maji na mengineyo.

#SwahibaLanguLako