Msambinungwa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚(@EmeldaAnthony7) 's Twitter Profileg
Msambinungwa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚

@EmeldaAnthony7

Godโ€™s daughter. Nothing serious hereโœŒ๏ธ. โšฝ#Manchesterunitedโค โšฝ๏ธ#Simbasc

ID:1414288613748232195

calendar_today11-07-2021 18:21:09

32,0K Tweets

12,8K Followers

602 Following

Follow People
White Dove ๐Ÿ•Š๏ธ(@Cyborg______) 's Twitter Profile Photo

Weekend ya makapu weka oda yako mpendwa dm yangu Iko wazi, kapu kubwa elf 7 dogo elf 4 meseji zijae jamani.โ˜บ๏ธ๐Ÿซถ

Weekend ya makapu weka oda yako mpendwa dm yangu Iko wazi, kapu kubwa elf 7 dogo elf 4 meseji zijae jamani.โ˜บ๏ธ๐Ÿซถ
account_circle
Msambinungwa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚(@EmeldaAnthony7) 's Twitter Profile Photo

Sasa Mungu asiinue watu wake??
Mtu kainuliwa kutoka chini mnaanza maneno yani humu bhana ๐Ÿšฎ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

account_circle
Gery(@Gery_Gerrald) 's Twitter Profile Photo

Moja kati ya Sound ambazo ukiziangalia tu unajua zimefungwa zikafingika, hapa quality ya muziki ni kubwa sana, kama hauamini sogea hapa Viwanjani usikie!

A-list ya wasanii itakiwasha hapa leo! Ni balaa juu ya balaa! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Moja kati ya Sound ambazo ukiziangalia tu unajua zimefungwa zikafingika, hapa quality ya muziki ni kubwa sana, kama hauamini sogea hapa Viwanjani usikie! A-list ya wasanii itakiwasha hapa leo! Ni balaa juu ya balaa! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
account_circle
Cappuccinoโœจ(@_GiftApril_) 's Twitter Profile Photo

NUKUU 3 ZA RAIS SAMIA JUU YA UMUHIMU WA MATUMIZI YA MBEGU NA MICHE BORA KWA WAKULIMA

Zikiwa zimesalia siku 5 kuelekea kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo, tumekuletea nukuu 3 za Rais alipozungumza juu ya umuhimu wa kujitosheleza katika uzalishaji wa Mbegu na Miche bora.

NUKUU 3 ZA RAIS SAMIA JUU YA UMUHIMU WA MATUMIZI YA MBEGU NA MICHE BORA KWA WAKULIMA Zikiwa zimesalia siku 5 kuelekea kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo, tumekuletea nukuu 3 za Rais alipozungumza juu ya umuhimu wa kujitosheleza katika uzalishaji wa Mbegu na Miche bora.
account_circle
Godโ€™s Fave child(@itsAnnie__) 's Twitter Profile Photo

Kwa huduma ya kufua nguo kwa bei poa
NGUO 10-8000/=
NGUO20-15000/=
NGUO30-20000/=
TAULO-2000/=
SHUKA-3000/=
PAZIA-3000/=
HUDUMA YA KUFUA IPO KIPINDI CHOTE HATA KIPINDI CHA MVUA
Huduma ya kupiga pasi nguo inajitegemea.๐Ÿ“ž 0692-383628 Tupo GobaTripleB DELIVERY NI FREE KARIBU SANA

Kwa huduma ya kufua nguo kwa bei poa NGUO 10-8000/= NGUO20-15000/= NGUO30-20000/= TAULO-2000/= SHUKA-3000/= PAZIA-3000/= HUDUMA YA KUFUA IPO KIPINDI CHOTE HATA KIPINDI CHA MVUA Huduma ya kupiga pasi nguo inajitegemea.๐Ÿ“ž 0692-383628 Tupo GobaTripleB DELIVERY NI FREE KARIBU SANA
account_circle
Msambinungwa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚(@EmeldaAnthony7) 's Twitter Profile Photo

Haya mambo ya mafuriko kiukweli sisi watu wa Kibamba tunaona maajabu yaani kila nikiona hizi picha na video nashangaa ni dar hii au mko mikoani??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

account_circle
Msambinungwa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚(@EmeldaAnthony7) 's Twitter Profile Photo

Nina namba ya tajiri,kiongozi, jasiri muongoza njia, boss asie na makuu akifa haozi huyu star mwenye roho yake nzuri na hata haringi Patoranking Chaaz Mwita WHYMYCATISSAD huna baya mkuu namba ileile ๐Ÿ”ฅ๐Ÿฅณ

account_circle