Watu tuliowatendea mema ni wale ambao wametulipa mabaya,kuna watu ulirisk mpaka maisha yako,kuna watu mpaka ukatumia vitu mbali mbali kuwafanya maisha yao yawe sawa lakin walewale uliowatendea mema ndio wamekufanyia mabaya. Usifikiri wanaokuchafua ni watu wengine ni watu wa Karbu
Daah nimeona familia moja humu imepiga picha inatabasamu hadi raha sisi wengine tukikutana ni tumenuniana kama vile tulishushwa yaan picha inapigwa sura hazina nuru 😂😂😂🚮 mnaopendwa kwenu muwe mnatoa sadaka za shukrani daily walai
Unamaliza zako kutuma mizigo Mbezi ,unaamua kukaa tu kituon kuangalia watu na magari kwasababu hata ukiwah home hakuna cha maana unaongea mwenyewe tu😑🚮😂😂