๐—๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ ๐— ๐˜‚๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐——๐—ฎ๐˜„๐—ฎ (@gaspinho15) 's Twitter Profile
๐—๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ ๐— ๐˜‚๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐——๐—ฎ๐˜„๐—ฎ

@gaspinho15

๐— ๐—ฒ๐—ฑ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐—น ๐—Ÿ๐—ฎ๐—ฏ๐Ÿฅผ
@fcbarcelona
๐—–๐—ผ๐—ฟ๐—ถ๐—ป๐˜๐—ต๐—ถ๐—ฎ๐—ป ๐Ÿ•Š
@YoungAfricansSC๐Ÿ”ฐ
Kwa Changamoto za Uzazi kwa jinsia zote n.k Call +255752208997
TMDA CERTIFIED

ID: 567239726

linkhttps://wa.me/message/FKJQWCKHNMBDA1 calendar_today30-04-2012 13:51:55

241,241K Tweet

105,105K Followers

1,1K Following

Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

Unaalikwa kwenye uzinduzi wa filamu ya NAFASI ambao utajumuisha onyesho la filamu hiyo, na kufuatiwa na uchambuzi wa ujumbe wake. Jisajili hapa kushiriki docs.google.com/forms/d/e/1FAIโ€ฆ #ArudiShule #JamiiPamoja

Unaalikwa kwenye uzinduzi wa filamu ya NAFASI
ambao utajumuisha onyesho la filamu hiyo, na kufuatiwa na uchambuzi wa ujumbe wake. 

 Jisajili hapa kushiriki docs.google.com/forms/d/e/1FAIโ€ฆ

#ArudiShule
#JamiiPamoja
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

"Let's harness technology for good. That's my key message to innovators who want to develop, create, and offer solutions that truly serve people. Let's use tech to solve real human problems and uplift the communities where we live and work." โ€“ Philip Bisiimire. #USTZTech

"Let's harness technology for good. That's my key message to innovators who want to develop, create, and offer solutions that truly serve people. Let's use tech to solve real human problems and uplift the communities where we live and work." 
โ€“ Philip Bisiimire.
#USTZTech
DOCHA ๎จ€ (@alugandu) 's Twitter Profile Photo

Tuligundua Wakati Wa Uteuzi Ndani Ya Vyama Tuligundua Kwamba Wanawake Wanapitia ukatili wakati wa uchaguzi na katika kampeni wanawake wanatukanwa matusi kupitia mitandao ~ Rehema Maro (DCOP) #WanawakeSasa #USAIDWanawakeSasa

Tuligundua Wakati Wa Uteuzi Ndani Ya Vyama Tuligundua Kwamba Wanawake Wanapitia ukatili wakati wa uchaguzi na katika kampeni wanawake wanatukanwa matusi kupitia mitandao ~ Rehema Maro (DCOP)

#WanawakeSasa 
#USAIDWanawakeSasa
๐—๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ ๐— ๐˜‚๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐——๐—ฎ๐˜„๐—ฎ (@gaspinho15) 's Twitter Profile Photo

Leo ndani ya SportPesa Tanzania tunakuletea Multibet ambayo ukiweka mkeka wako Ukapatia kwa usahihi unapata bonus zaidi ya 1000% Kwenye game hii ya Monaco vs Barcelona Utampa nani hapo? Jisajili sasa kwa Kugusa Link hapo ๐Ÿ‘‡ bit.ly/SportPesa-BT-X1 #SportpesaUshindi

Leo ndani ya <a href="/TZSportPesa/">SportPesa Tanzania</a> tunakuletea Multibet ambayo ukiweka mkeka wako Ukapatia kwa usahihi unapata bonus zaidi ya 1000% 
Kwenye game hii ya Monaco vs Barcelona Utampa nani hapo? Jisajili sasa kwa Kugusa Link hapo ๐Ÿ‘‡
bit.ly/SportPesa-BT-X1

#SportpesaUshindi
Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Watanzania 56% wanatumia mwaka 2020 walitumia zaidi redio kupata taarifa mbalimbali huku ushiriki wa mikatano ya kijamii ikiwa kwa kiwango hafifu #USTzTech

Watanzania 56% wanatumia mwaka 2020 walitumia zaidi redio kupata taarifa mbalimbali huku ushiriki wa mikatano ya kijamii ikiwa kwa kiwango hafifu #USTzTech
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

๐€๐…๐˜๐€ ๐๐Ž๐‘๐€ ๐Š๐€๐‘๐ˆ๐๐” ๐™๐€๐ˆ๐ƒ๐ˆ ๐๐€ ๐–๐€๐๐€๐๐‚๐‡๐ˆ. #MamaYukoKazini

Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Nilianzisha kituo cha Redio miaka 15 iliyopita, Lengo kuwapatia jamii taarifa sahihi. Nakumbuka nilikwenda kijijini kwetu watu waliacha kwenda hospitali kwa sababu walidanganywa dawa zinazotolewa zinasababisha kansa. Niliona umuhimu wa kuwaelimisha- Jacqueline Lawrence #USTzTech

Nilianzisha kituo cha Redio miaka 15 iliyopita, Lengo kuwapatia jamii taarifa sahihi.

Nakumbuka nilikwenda kijijini kwetu watu waliacha kwenda hospitali kwa sababu walidanganywa dawa zinazotolewa zinasababisha kansa. 

Niliona umuhimu wa kuwaelimisha- <a href="/jackielawrencem/">Jacqueline Lawrence</a> #USTzTech
Eric (@ericmaswi) 's Twitter Profile Photo

Ujenzi wa VETA za wilaya na mikoa unaendelea ili kuongeza fursa za vijana kupata elimu ujuzi. PICHA: VETA mkoa wa RUKWA #MamaYukoKazini

Ujenzi wa VETA za wilaya na mikoa unaendelea ili kuongeza fursa za vijana kupata elimu ujuzi.

PICHA: VETA mkoa wa RUKWA 

#MamaYukoKazini
Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Vijana tusikubali kuambiwa nafasi yako ni baadae. Ikiwa una ubunifu au jambo la kulisimamia lisamimie ipasavyo pia usiwe urafiki kwenye kazi/biashara - Balozi wa US Embassy Tanzania #USTzTech

Vijana tusikubali kuambiwa nafasi yako ni baadae.

Ikiwa una ubunifu au jambo la kulisimamia lisamimie ipasavyo pia usiwe urafiki kwenye kazi/biashara - Balozi wa <a href="/usembassytz/">US Embassy Tanzania</a> #USTzTech
Tanzania Yetu.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_tanzaniayetu) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza hospitali zote za halmashauri kutenga wodi maalum ya watoto wachanga na wanaozaliwa kabla ya wakati(njiti) ili kupunguza vifo vya watoto wachanga. #MamaAnafanikisha #TanzaniaYaSamia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza hospitali zote za halmashauri kutenga wodi maalum ya watoto wachanga na wanaozaliwa kabla ya wakati(njiti) ili kupunguza vifo vya watoto wachanga.

#MamaAnafanikisha
#TanzaniaYaSamia