George Ambangile(@George_Ambangil) 's Twitter Profileg
George Ambangile

@George_Ambangil

GeorgeAmbangile|FootballAnalyst| WasafiMedia | Brand Influencer : @dstv_tz. @mbet_tz

ID:4110587662

calendar_today04-11-2015 07:55:56

95,0K Tweets

735,0K Followers

683 Following

George Ambangile(@George_Ambangil) 's Twitter Profile Photo

Kipindi cha pili nahamia Ujerumani , Hispania nimeangalia 45 za kwanza sitaki kukosa mazima koteπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

account_circle
George Ambangile(@George_Ambangil) 's Twitter Profile Photo

Just saying ... ana unfinished business kwenye matofali ya kuchoma . But najua hakuna namna yoyote kocha ajaye hatotaka kumtumia KIMπŸ˜€

account_circle
George Ambangile(@George_Ambangil) 's Twitter Profile Photo

Una roho ngumu ??

1: Barca Vs PSG - Over 1.5 ( second half )

2: Dortmund Vs Atletico - Over 4.5 ( total bookings : kadi )

3: Soton Vs Preston - OVER 2.5

4: Famalicao Vs Sporting - OVER 1.5 ( second half )

Only ndani ya M-Bet TZ , angalia ODDS zao now uoneπŸ’ͺ🏿

account_circle
George Ambangile(@George_Ambangil) 's Twitter Profile Photo

Kumuangalia Dele Alli kwenye MNF , then Pochettino kuongea naye ... unakumbuka those 2 or 3 yrs under Poch .. my goodness πŸ€”. Dele was unplayable . Life can change in a blink of an eye .!

He is 28yrs now

Kumuangalia Dele Alli kwenye MNF , then Pochettino kuongea naye ... unakumbuka those 2 or 3 yrs under Poch .. my goodness πŸ€”. Dele was unplayable . Life can change in a blink of an eye .! He is 28yrs now
account_circle
George Ambangile(@George_Ambangil) 's Twitter Profile Photo

Cole Palmer kwenye team of the year unahitaji ujasiri sana wa hali ya juu asimuweke .

Chelsea wakimaliza nafasi 5 za juu basi ni kwasababu ya Palmer and nothing else

account_circle