Hope 4Young Girls Tz(@Hope4youngG) 's Twitter Profileg
Hope 4Young Girls Tz

@Hope4youngG

We believe that investing in adolescent girls,Young women in rural areas by providing education,knowledge&access to opportunities is the long strategy 2 end GBV

ID:472738102

linkhttp://www.hope4younggirlstz.or.tz calendar_today24-01-2012 07:51:10

2,0K Tweets

731 Followers

728 Following

ICCAO(@ICCAO2) 's Twitter Profile Photo

Usikose Alhamisi hii katika katika kipindi chetu cha kinachofanyika katika App ya Clubhouse inayopatikana Google Playstore na Apple Store

Jiunge nasi tulete mabadiliko katika jamii.

Usikose Alhamisi hii katika katika kipindi chetu cha #tuvuke kinachofanyika katika App ya Clubhouse inayopatikana Google Playstore na Apple Store Jiunge nasi tulete mabadiliko katika jamii. #iccaotanzania #kijanauwezo
account_circle
Hope 4Young Girls Tz(@Hope4youngG) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 15.10.2022 tutakutana na baadhi ya wasichana pamoja wazazi kuweza kuongelea haki na wajibu wa msichana na mzazi.

Je tunawezaje kupata ushirikishwaji endelevu wa wasichana kuanzia ngazi za kijiji hadi kitaifa?

Tarehe 15.10.2022 tutakutana na baadhi ya wasichana pamoja wazazi kuweza kuongelea haki na wajibu wa msichana na mzazi. Je tunawezaje kupata ushirikishwaji endelevu wa wasichana kuanzia ngazi za kijiji hadi kitaifa?
account_circle
Hope 4Young Girls Tz(@Hope4youngG) 's Twitter Profile Photo

UKATILI WA KIJINSIA - GBV.

Je wajua kuwa wasichana wanapitia ukatili wa kisaikolojia kwa njia ya kuona watoto wenzao wanavyofanyiwa ukatili?
Tunaendelea kutoa elimu ya ukatili wa kijijsia shuleni kupitia mradi wetu wa.
Mafanikio Yangu,Maendeleo Kwa 'Jamii✊'.

@women_win

UKATILI WA KIJINSIA - GBV. Je wajua kuwa wasichana wanapitia ukatili wa kisaikolojia kwa njia ya kuona watoto wenzao wanavyofanyiwa ukatili? Tunaendelea kutoa elimu ya ukatili wa kijijsia shuleni kupitia mradi wetu wa. Mafanikio Yangu,Maendeleo Kwa 'Jamii✊'. @women_win
account_circle
Hope 4Young Girls Tz(@Hope4youngG) 's Twitter Profile Photo

Wazazi,walezi wanatakiwa kushiriki katika kuchangia kuweka mazingira salama ya shule yanayojumuisha miundo mbinu na upatikanaji wa mahitaji muhimu kama maji na sehemu za kujisomea.

Paza Sauti,Linda HaKi Yako.
Paza Sauti,Iliende Haki Yake💪

Wazazi,walezi wanatakiwa kushiriki katika kuchangia kuweka mazingira salama ya shule yanayojumuisha miundo mbinu na upatikanaji wa mahitaji muhimu kama maji na sehemu za kujisomea. Paza Sauti,Linda HaKi Yako. Paza Sauti,Iliende Haki Yake💪
account_circle
Adolescent Gate Organization(@adolescent_gate) 's Twitter Profile Photo

We empower adolescent girls to become stronger, healthier and positive in mindset, Our believe is that if Girls are well empowered they can become better and well educated women of tomorrow hence create safe community that free from violence and respect girls/human rights.

We empower adolescent girls to become stronger, healthier and positive in mindset, Our believe is that if Girls are well empowered they can become better and well educated women of tomorrow hence create safe community that free from violence and respect girls/human rights.
account_circle
Hope 4Young Girls Tz(@Hope4youngG) 's Twitter Profile Photo

Educate a girl ;~

She will marry later
She will educate her children
She will stand up to violence
She can break the cycle of poverty
She will have fewer and healthier children

Educate a girl ;~ She will marry later She will educate her children She will stand up to violence She can break the cycle of poverty She will have fewer and healthier children #Thepowerofeducation
account_circle
Msichana Initiative(@MsichanaUwezo) 's Twitter Profile Photo

Tukiwa sambamba na maneno ya Mhe. Rais, tunaendelea kuikumbusha serikali na bunge letu juu ya mabadiliko ya sheria ya ndoa ya mwaka 1971. Tunaamini mabadiliko haya yatakuwa chachu katika kufikia usawa wa kijinsia katika jamii.


Tukiwa sambamba na maneno ya Mhe. Rais, tunaendelea kuikumbusha serikali na bunge letu juu ya mabadiliko ya sheria ya ndoa ya mwaka 1971. Tunaamini mabadiliko haya yatakuwa chachu katika kufikia usawa wa kijinsia katika jamii. #NiZamuYaWabunge #NdoaZaUtotoni
account_circle
Success Hands Initiative(@SuccessHandsTz) 's Twitter Profile Photo

Ni heshima kwetu kushirikiana na mashirika mengine katika kupeleka ajenda yetu ya usafi na mazingira mbele. Baadhi ya wawakilishi kutoka taasisi zisizo za serikali na wageni wetu maalum.

Ni heshima kwetu kushirikiana na mashirika mengine katika kupeleka ajenda yetu ya usafi na mazingira mbele. Baadhi ya wawakilishi kutoka taasisi zisizo za serikali na wageni wetu maalum. #usafikwanza
account_circle
Hope 4Young Girls Tz(@Hope4youngG) 's Twitter Profile Photo

Tunafurahi kuendelea kushirikiana na Mundo Cooperante katika kuhakikisha tunaweka mazingira salama na kuimarisha ulinzi wa wasichana dhidi ya ndoa za utotoni.




Mundo Cooperante

Tunafurahi kuendelea kushirikiana na Mundo Cooperante katika kuhakikisha tunaweka mazingira salama na kuimarisha ulinzi wa wasichana dhidi ya ndoa za utotoni. #stopchildmarriage #safespaces #therighttobeagirl @mundocooperante
account_circle