jaguar 😺 (@jaguar_455) 's Twitter Profile
jaguar 😺

@jaguar_455

Sijui KituπŸ™…

ID: 1540619608834596864

calendar_today25-06-2022 08:55:42

40,40K Tweet

4,4K Followers

659 Following

jaguar 😺 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Hivi hili sanii lenu huko marekani hakuna vitu vya kuviimba na akatambulika ulimwenguni. Trump alipigwa risasi mbona hakutoa maujinga yake eti ni ngoma. Wakati George anauliwa na wale pols waki mrecord mbona hakutoa maujinga yake. Harakati za kipumbavu na content za nchi moja tu

Hivi hili sanii lenu huko marekani hakuna vitu vya kuviimba na akatambulika ulimwenguni.
Trump alipigwa risasi mbona hakutoa maujinga yake eti ni ngoma.
Wakati George anauliwa na wale pols waki mrecord mbona hakutoa maujinga yake.
Harakati za kipumbavu na content za nchi moja tu
jaguar 😺 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Uliweza kudanganya hii miamala yako na kushindwa kujua hakuna neno ZOEZI kwenye miamala, basi ata hayo unaongea pia yanaweza kuwa sio kweli, Ukasema una roli mbili za ushahidi na soka ajapatikana pia huo ni uongo, kesi ya kuingizwa chupa yule kijana hakuna update utapeli huo

Uliweza kudanganya hii miamala yako na kushindwa kujua hakuna neno ZOEZI kwenye miamala, basi ata hayo unaongea pia yanaweza kuwa sio kweli, 
Ukasema una roli mbili za ushahidi na soka ajapatikana pia huo ni uongo, kesi ya kuingizwa chupa yule kijana hakuna update utapeli huo
jaguar 😺 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Huyu binti NONO wala sina shida nae wala bifu nae yoyote ile. Alinikwaa tu baada ya kusema amepata ajari ya bodaboda na dereva kafia pale pele. Kingine ni kusema matumizi yake ni 50k kwa siku, Hasira zilinipanda kwanini atuombee dua mbaya BODABODA ni kipi tulimkosea hasa

Huyu binti NONO wala sina shida nae wala bifu nae yoyote ile.
Alinikwaa tu baada ya kusema amepata ajari ya bodaboda na dereva kafia pale pele.
Kingine ni kusema matumizi yake ni 50k kwa siku,
Hasira zilinipanda kwanini atuombee dua mbaya BODABODA ni kipi tulimkosea hasa
jaguar 😺 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Yani mtu utukane watu wakukamate wakuzibue afu mnataka watu wote tusimame upande wa mtukana matusi hapa hii sio sawa. Na Wala dhambi yako haitasafika kwa kupigwa kwako na hao watu, na Wala hatuta acha kusema dhambi yako kisa umepigwa Mimi sikufunzwa hivyo ukweli utabaki pale pale

Yani mtu utukane watu wakukamate wakuzibue afu mnataka watu wote tusimame upande wa mtukana matusi hapa hii sio sawa.
Na Wala dhambi yako haitasafika kwa kupigwa kwako na hao watu, na Wala hatuta acha kusema dhambi yako kisa umepigwa
Mimi sikufunzwa hivyo ukweli utabaki pale pale
jaguar 😺 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Sasa wewe kijana unaesema una andamana bila kujua tatizo liko wapi. Yani wana ku HOTSPOT kwenye matatizo bila wewe mwenyewe kujua. Uzuri wangu huwa naongea kabla jambo halijatokea ili likitokea nicheke mseme sina solidarity eti😎

Sasa wewe kijana unaesema una andamana bila kujua tatizo liko wapi.
Yani wana ku HOTSPOT kwenye matatizo bila wewe mwenyewe kujua.

Uzuri wangu huwa naongea kabla jambo halijatokea ili likitokea nicheke mseme sina solidarity eti😎
jaguar 😺 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Uzuri wa humu ndani kila kitu ni CONTENT kwa wengine. Ila jua na wewe likikupata itakuwa content kwa wengine pia, Sasa siku ikiwa kwako kundi lako litawaita kundi lingine ni wapush #. Hii ndio twetter (X) 😁

Uzuri wa humu ndani kila kitu ni CONTENT kwa wengine.
Ila jua na wewe likikupata itakuwa content kwa wengine pia, Sasa siku ikiwa kwako kundi lako litawaita kundi lingine ni wapush #.

Hii ndio twetter (X) 😁