Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profileg
Jambo TV

@Jambotv_

Independent News Source | WhatsApp+255767252999

ID:570641129

linkhttps://www.jambo.or.tz calendar_today04-05-2012 08:15:47

13,3K Tweets

901,9K Followers

70 Following

Follow People
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

“Ukisoma dira yetu ya maendeleo ya 2025 katika malengo yale matano, moja lilikuwa ni kuhakikisha tunakuwa na Watanzania walioelimika na walio tayari kujifunza ambao watasaidia kwenye lengo lile la tano la kuhakikisha tunakuwa na uchumi imara na wenye kuhimili ushindani, leo hii…

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

HABARI PICHA:

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekutana na ujumbe kutoka Uganda ulioongozwa na Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa nchi hiyo Ruth Nankabirwa Ssentamukwa, ambapo wamezungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano katika sekta ya…

HABARI PICHA: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekutana na ujumbe kutoka Uganda ulioongozwa na Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa nchi hiyo Ruth Nankabirwa Ssentamukwa, ambapo wamezungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano katika sekta ya…
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limewakaribisha kundi la sarakasi lililojizolea umaarufu mkubwa duniani la Ramadhani Brothers kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania kama juhudi za kuuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia…

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

📍VIDEO:
BABATI - MANYARA

Mkazi wa Minjingu mwenye asili ya kimasai akilalamikia uporaji wa ardhi wanaofanyiwa na viongozi

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Jana kwenye mtandao wa X (Zamani Twitter) kuliibuka mjadala mkubwa kuhusu muuza madafu aliyewahi kuonekana maeneo ya Ikulu wakati wa futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye alifananishwa na makomandoo wa kikosi cha Jeshi…

Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imehakikisha utekelezaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka; barabara ya Nyerere hadi Gongolamboto unaendelea huku barabara ya kawaida ikiendelea kupitika hata katika kipindi hiki cha mvua kubwa zinazoendelea kunyesha sehemu…

Chama cha ACT-Wazalendo kimeitaka serikali kuhakikisha inasimamia maslahi stahiki ya waongoza watalii nchini ikiwamo kuongeza kiasi wanachotakiwa kulipwa kutoka Dola za kimarekani 11 (Tsh.28,560) mpaka 13 ambazo ni takribani Shilingi za Kitanzania 33,752 kwa sasa mpaka Dola…

Jeshi la Polisi Tanzania limekanusha taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari ‘shuhuda’ ikieleza namna aliyekuwa mpiga picha wa Ayo TV, Noel Mwingira ”Zuchy” alivyopata ajali huku ikilituhumu jeshi hilo kutokuitia mwito wa kuuchukua mwili mapema kwa…

Kiasi cha Shilingi milioni 500 zimetolewa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Manispaa ya Mtwara Mikindani ambapo zaidi ya wakazi 164,000 wa Manispaa hiyo wanatarajia kunufaika na mradi huo

Hayo yameelezwa na Mganga Mkuu wa Manispaa Dkt. Joseph Kisala wakati wa…

Kiasi cha Shilingi milioni 500 zimetolewa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Manispaa ya Mtwara Mikindani ambapo zaidi ya wakazi 164,000 wa Manispaa hiyo wanatarajia kunufaika na mradi huo Hayo yameelezwa na Mganga Mkuu wa Manispaa Dkt. Joseph Kisala wakati wa…
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amesema maendeleo yanayoendelea kushuhudiwa na kuwanufaisha watanzania yametokana na msingi wa Umoja, Amani na Mshikamano uliojengwa na waasisi wa Taifa la Tanzania.

Akizungumza na wakazi wa mkoa wa Kigoma waliojitokeza kwenye kilele…

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amesema maendeleo yanayoendelea kushuhudiwa na kuwanufaisha watanzania yametokana na msingi wa Umoja, Amani na Mshikamano uliojengwa na waasisi wa Taifa la Tanzania. Akizungumza na wakazi wa mkoa wa Kigoma waliojitokeza kwenye kilele…
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza msamaha kwa wafungwa 1,082 ambapo 29 kati yao wameachiliwa huru Ijumaa Aprili 26, 2024 na wafungwa 20 waliohukumiwa adhabu ya kifo wamebadilishiwa adhabu ya kifo kuwa kifungo cha maisha, wafungwa 27 waliohukumiwa kifungo cha…

Mkuu wa mkoa wa Singida Halima Dendego amepiga marufuku madereva wa bajaji na pikipiki katika Manispaa ya Singida kulipa tozo yoyote bila kupewa risiti na mtu anayezitoza.

Dendego ametoa kauli hiyo Ijumaa April 26 2024 kwenye mkutano wake na madereva wa bodaboda na bajaji katika…

Mkuu wa mkoa wa Singida Halima Dendego amepiga marufuku madereva wa bajaji na pikipiki katika Manispaa ya Singida kulipa tozo yoyote bila kupewa risiti na mtu anayezitoza. Dendego ametoa kauli hiyo Ijumaa April 26 2024 kwenye mkutano wake na madereva wa bodaboda na bajaji katika…
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu amekutana na kuzungumza na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) iliyoongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wake Dkt. Bill Kiwia.

Katika mazungumzo yaliyofanyika Ijumaa Aprili 26, 2024 jijini Dar es Salaam, viongozi hao…

Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu amekutana na kuzungumza na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) iliyoongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wake Dkt. Bill Kiwia. Katika mazungumzo yaliyofanyika Ijumaa Aprili 26, 2024 jijini Dar es Salaam, viongozi hao…
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelitaka Jeshi la Polisi nchini kuwapa dhamana Meya Mstaafu wa Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob na mwanaharakati Malisa Godlisten ambao wanatajwa kushikiliwa na Jeshi hilo.

Taarifa iliyotolewa Ijumaa Aprili 26, 2024 na Mkurugenzi wa…

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelitaka Jeshi la Polisi nchini kuwapa dhamana Meya Mstaafu wa Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob na mwanaharakati Malisa Godlisten ambao wanatajwa kushikiliwa na Jeshi hilo. Taarifa iliyotolewa Ijumaa Aprili 26, 2024 na Mkurugenzi wa…
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro inaendelea na kazi ya kuziba mashimo na kukarabati barabara kuu ya Morogoro – Iringa ikiwemo katika eneo la Kobogwa lilipo katika hifadhi ya Taifa ya Mikumi ambapo kumetokea shimo kubwa baada ya maji kupita…

“Hakuna taarifa ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) hadi sasa iliyofanyika kuthibitisha uhalali wa katakata na migawo ya umeme iliyokuwa ikifanywa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Kwa mujibu wa Sheria na Kanuni EWURA inayo jukumu la kupokea taarifa…

Wakurugenzi wa Halmashauri wametakiwa kuchukua hatua kali za kisheria kwa wale wanaohusika kukwamisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo mkoani Njombe.

Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Njombe Kassim Ephrem wakati…

Wakurugenzi wa Halmashauri wametakiwa kuchukua hatua kali za kisheria kwa wale wanaohusika kukwamisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo mkoani Njombe. Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Njombe Kassim Ephrem wakati…
account_circle