JunTao(韬韬)(@JunTao89824321) 's Twitter Profileg
JunTao(韬韬)

@JunTao89824321

不要浪费你的时间,我在做我的事

ID:1556662206934269953

calendar_today08-08-2022 15:23:08

19,1K Tweets

4,0K Followers

4,2K Following

JunTao(韬韬)(@JunTao89824321) 's Twitter Profile Photo

Mekumbuka mbala sana🤣🤣me nilikua nanunua karanga naeka mfukon,nakula kimachare ili nisiombwe na Wana🤣🤣

account_circle
D̶̶a̶̶k̶̶t̶̶a̶̶r̶̶i̶ ̶W̶̶a̶ ̶M̶̶c̶̶h̶̶o̶̶n̶̶g̶̶o̶(@phan_wa_2) 's Twitter Profile Photo

Hatuendani na hustle zetu sio kwamba tunapenda ila tukiwaangaalia wanaotutegemea nyuma yetu hatuna budi kuendelea kupambana.

Good morning twitter family 👋🏾👋🏾

Hatuendani na hustle zetu sio kwamba tunapenda ila tukiwaangaalia wanaotutegemea nyuma yetu hatuna budi kuendelea kupambana. Good morning twitter family 👋🏾👋🏾
account_circle
Dullah_theKing🇹🇿(@DullahTheking2) 's Twitter Profile Photo

Jana nilikutana na EX wangu {Hellen}, Siku hizi anamiliki kitambi aisee....

Ama kwa hakika siku ya jana ilikuwa ya FURAHA sana kwangu 🤣

account_circle
JunTao(韬韬)(@JunTao89824321) 's Twitter Profile Photo

Oya wanangu nikichelewa kurud home napitia meng sema ua nakausha tu siwaambii,ataniua uyu mama jamani🤣
Gm my X Fam🥰😍

Oya wanangu nikichelewa kurud home napitia meng sema ua nakausha tu siwaambii,ataniua uyu mama jamani🤣 Gm my X Fam🥰😍
account_circle