profile-img
Issa Shivji

@IssaShivji

Professor Emeritus of Public Law & First Julius Nyerere University Prof, Uni of Dar es Salaam. THE ART OF KNOWING IS KNOWING WHAT TO IGNORE -Rumi

calendar_today28-12-2015 18:12:38

6,4K Tweets

163,6K Followers

67 Following

Issa Shivji(@IssaShivji) 's Twitter Profile Photo

‘Bintiye kakuahidia suluhu na (akina) Uhuru
Kakutuliza kwa kufungulia vidirisha vya kupumua

Mamangu…unanisumbua kwa kunipigia simu kila kukicha:

‘Je bibiye atafungua pia
Mabomba ya maji machafu?’

…ndio mada ya barua yangu.
issashivji.com/2024/04/21/11-…

account_circle
Issa Shivji(@IssaShivji) 's Twitter Profile Photo

Issa Shivji Prof, shukrani. Nimeipenda sana barua hii kwa sababu zile za nyuma ulikuwa ukisimulia zaidi badala ya kuonyesha tunatokaje hapa. Magufuli alianzisha industrialisation. Serikali ya sasa ilivalie hili njuga.Viwanda vitatusaidia mno ktk maendeleo.Sizioni jitihada kama za wakati ule

account_circle