Maria Sarungi Tsehai
@MariaSTsehai
Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
ID:24312877
https://mariasarungitsehai.medium.com/ 14-03-2009 02:40:08
699,8K Tweets
1,2M Followers
8,2K Following
Follow People
Maria Sarungi Tsehai CHADEMA Tanzania Ni kweli kabisa yanawarudia hawa wasaliti🚮
Waroho wa mali za duniani ambazo siyo za kudumu🚮
Maria Sarungi Tsehai CHADEMA Tanzania Mwisho wa siku kajiumbua mwenyewe. Wanafiki ni watu hatari sana katika kila movement.
Maria Sarungi Tsehai CHADEMA Tanzania Wanakaa bungeni wanatoa mapovu utadhani kuna kazi yoyote wanafanya. Kumbe hamna, wanazuga, baadae wanachukua posho huku maza wanampitishia mambo yake kilaini tu. Hili bunge ni la matahira watupu. Hamna kitu pale, ni takataka 🚮
Maria Sarungi Tsehai CHADEMA Tanzania Haya ndio matatizo walionayo vyama vya upinzani ndo manake Tundu Antiphas Lissu amewaelewesha chadema kuchagua viongozi makini ili haya yasitokee Tena.
We see you, China! Your support for EACOP exposes your true colors. Stop enabling TotalEnergies' prioritization of profits over people, nature and climate. Chinese Embassy in Uganda, Hua Chunying 华春莹, Spokesperson发言人办公室 #StopEACOP !
Anti-EACOP activists arrested at Chinese Embassy margheritanews.ug/2024/05/anti-e… #StopEACOP !
Nikusahishe Dkt. Doto Biteko, you of all people should know mjomba wako JPM alikua mwizi na wewe mpwa wake ulimsaidia kuiba. Na mfumo mzima unafuga majizi ndomana #KatibaMpya hamtaki. Acha longo longo, tungekua na bunge mkataba wa DP World ungepita? Acha izo bana 🚮
We condemn the violent arrest of these activists whose only crime is to ask that China listen to their concerns and refuse to be used as a last resort to fund this controversial pipeline. Join us in demanding their release. #StopEACOP ! #EndFossilFuelFinance
😂😂
“WanaCCM wenzangu”
Hawa washafukuzwa CHADEMA Tanzania ila wanadai bado wanachama halali ila wanajihesabu kama wanaCCM 😂
Wameumbukaaa! Kabaki kusema “ni sawa tu”
Nooo ❌ hii si sawa! Wabunge wa viti maalum CCM wanatambulika rasmi!
Mngekuwa na chembe ya uadilifu mngepumzika ila
Maria Sarungi Tsehai Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 Wanachota hela zetu wenyewe wanaturudshia tena wenyewe dah na kipindi hiki ndo watatununua kama jojo.....
Maria Sarungi Tsehai Hapa University of Dar es Salaam Alumni Daruso Mlimani Sjui wanatengeneza viongozi wa namna gani😂😂😂😂
Maria Sarungi Tsehai Huyu Mzee nilikua simtilii maanani ila naona kila dalili ya maono yake kwenda kutimia 2025,,Swali je ma CCM yalivyo yataondoka kwa amani??
Maria Sarungi Tsehai University of Dar es Salaam Alumni Daruso Mlimani kumbe viongozi wala rushwa ndo wanapoanziaga kutengenezwa huku, imeniuma sana nimekesha nikitaka kulia
Maria Sarungi Tsehai Tatizo njaa, nani akubali kulala njaa sasa, Wanasiasa wanafajya watu wawe maskin ili wawez kuwatawalaa, mtu akishakuwa na njaa utamtawala kirahis sana