Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profileg
Godbless E.J. Lema

@godbless_lema

Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee
Former MP Arusha Urban (2010 -2020),
Shadow Minister Home Affairs,
Husband and Father

ID:845272399381778432

linkhttps://en.wikipedia.org/wiki/Godbless_Lema calendar_today24-03-2017 13:53:39

8,3K Tweets

1,0M Followers

981 Following

Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Ukitafakari kwa kina kabisa utagundua kuwa kuna aina mbili ya wapagani siku hizi.Mosi,ni wale ambao hawamwamini kabisa Mungu na wala hawajui habari ya uwepo wake. Na Pili,ni wale wanaoenda ibadani kila inapokuwa siku ya ibada huku matendo yao yakienda kinyume kabisa na matendo…

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

🚨🚨 ‼️🚨
Tukae humu 👇🏾SIKILIZA‼️

Tundu Antiphas Lissu has revealed that there is a cartel of sugar orchestrated from the top leadership! He is happy to give names 😃
Hint: even religious leaders have sugar import licences 🧐

Juzi nilifanya utafiti usio rasmi wa bei ya sukari…

account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Huu Ujinga tunaoruhusu Airport utatu cost sana

Ina maana hakuna camera kufuatilia mambo ya kipuuzi kama haya mpaka yanafanyika?

account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Hili tatizo la kuvuja kwa maji nililiripoti IDARA ya MAJI hapa Arusha Mjini kama miezi mitatu imepita sasa,kuna uzembe mkubwa hapa Mamlaka ya Idara ya Maji Arusha.Hawajali kabisa wala kuzingatia ubora na gharama zinazopotea kwa maji kuvuja na uharibifu mwingine.Inasikitisha…

account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Mnataka kuwakamata kama mlivyofanya kwa Bonifasi Jacob na Godlisten Malisa?Mnafanya kazi zenu kuwa ngumu sana.Polisi is a NOBLE WORK.jitengeni na mihemko inayo wazalilisha.Kazi ya Polisi ni kazi iliyobeba mantinki ya utakatifu. Mmekula kiapo cha kutulinda kwa gharama ya uhai wenu…

Tengenezeni hii miundo mbinu hapa ktk haya maonyesho yanayo endelea hapa viwanja vya General Tyre , hii ni aibu au ni maonyesho ya matope ?CCM ni Chama cha ajabu sana,mko mbali sana na quality mindset.

account_circle
MwanzoTvPlus(@MwanzoTvPlus) 's Twitter Profile Photo

: Hii balaa! Tundu Antiphas Lissu atoboa siri nzito Babati Manyara, awataja wanaohujumu bidhaa ya Sukari, mtoto wa Rais Samia Suluhu ahusishwa pamoja na Viongozi wa dini, 'tozo, vikokotoo na mambo yote yanapangwa Ikulu'

Zaidi: youtu.be/wERnzBlBSXk

account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Polisi hawafanyi bahati mbaya wanapo mkamata Godlisten Malisa na Bonifasi Jacob kwa makosa ambayo hata wao hawawezi kuyazungumza kwa ufasaha hadharani.Wanachofanya ni ku set CONFUSION STRATEGY.Wanataka kuzuia kasi na nguvu ya mitandao ya kijamii ktk kutafuta na kupigania haki…

account_circle