Afisa Ugavi πŸ‡¨πŸ‡¦ (@mkuruzenzi) 's Twitter Profile
Afisa Ugavi πŸ‡¨πŸ‡¦

@mkuruzenzi

πŸ€“ Techie at heart πŸ’» | Innovating my way through life πŸ› οΈ | Football fanatic ⚽️ | Funny moments keep me going πŸ˜… | A dude you might know

ID: 1147538386296692736

linkhttp://www.fiidz.com calendar_today06-07-2019 16:10:46

105,105K Tweet

58,58K Followers

4,4K Following

Dullah_theKing🎢 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

πŸ‘‰πŸ½ Kuna Baadhi ya ngoma Manzi yako akikutumia unaweza furahia tuu kwa kuisikiliza ila kuna namna huwa wanafikisha ujumbe πŸ˜… Imajini unaamka zako tuu unakutana na File la ngoma ya "NINAKUPENDA"🎢 ya Bidada "FRIDA ROTTSON" πŸ€”....Hapo unakuwa umeshapata picha kuwa Bidada anahitaji

πŸ‘‰πŸ½ Kuna Baadhi ya ngoma Manzi yako akikutumia unaweza furahia tuu kwa kuisikiliza ila kuna namna huwa wanafikisha ujumbe πŸ˜…

Imajini unaamka zako tuu unakutana na File la ngoma ya "NINAKUPENDA"🎢 ya Bidada "FRIDA ROTTSON" πŸ€”....Hapo unakuwa umeshapata picha kuwa Bidada anahitaji
Ahmed Ally (@ahmed__ally) 's Twitter Profile Photo

Mpaka sasa tuna tuzo nne katika ligi kuu ya NBC Chemalone - Mchezaji bora wa mechi dhidi ya Tabora Jean Ahoua - Mchezaji bora mechi dhidi ya Fountaina Gate Fadlu Davis - Kocha bora mwezi August Jean Ahoua - Mchezaji bora Mwezi August Na badoooooooooo Tutabeba sanaaaaaaa

Mpaka sasa tuna tuzo nne katika ligi kuu ya NBC

Chemalone - Mchezaji bora wa mechi dhidi ya Tabora
Jean Ahoua - Mchezaji bora mechi dhidi ya Fountaina Gate
Fadlu Davis - Kocha bora mwezi August
Jean Ahoua - Mchezaji bora Mwezi August

Na badoooooooooo Tutabeba sanaaaaaaa
#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile Photo

Mjadala wa leo ulikuwa mzuri sana, tunahitaji battles kama hizi, ila battles tuzielekeze kwenye kufundishana na kutatua changamoto za mifumo yetu. Tunahitaji security checks ( Bug bounty programs). Tunahitaji kukubali madhaifu na tukubali kujifunza na isigeuke kuwa uadui.

Mohammed Dewji MO (@moodewji) 's Twitter Profile Photo

There is no free lunch. There is no elevator. There is no escalator to success. You have to climb the stairs one-by-one… #Mo

There is no free lunch. 
There is no elevator. 
There is no escalator to success. 
You have to climb the stairs one-by-one… #Mo
SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

DJ unaweza kuiongeza hii ngoma ya "NINAKUPENDA" ya dada Frida Rottson kwenye ngoma za siku ya harusi ukumbini au ile baby anafanyiwa sherehe hivi kama dedication Utanishukuru baadae..... Miongoni mwa video kali kutoka kwa wasanii wa Gospel πŸ‘‰πŸ½ youtu.be/z4xz2tt9Ld0?si…

Musa | UI / UX designer (@musa_pyuza) 's Twitter Profile Photo

hakuna kazi ngumu kama kuuguza mgonjwa hospital wakuu πŸ₯² sir GOD mponye my uncle, tutunze figo zetu wakuu, dialysis noma 😭

Johnbest Mwahaja (@johniezebest) 's Twitter Profile Photo

Frida Rottson anasema "NAPENDWA" kutoka kwenye EP yake ya Deni Limelipwa. Akitazama ukuu na neema nyingi alizopewa na Mungu ameamua kusema Anapendwa. Nawewe unaweza isikiliza kupitia YouTube kupitia Link hii hapa πŸ‘‡ youtu.be/lOP1oyeebtk?si…