MZUNGU PORI💪 (@mzungu_pori1) 's Twitter Profile
MZUNGU PORI💪

@mzungu_pori1

Influencer 🤝💪
kitu siwezagi ni kukata tamaa😐 Never give up🙏✊

Wema ukizidi ni Ujinga🤝🤝

Kwa Matangazo Sogelea DM🤝

ID: 1414310929026764802

calendar_today11-07-2021 19:50:18

350,350K Tweet

81,81K Followers

5,5K Following

MZUNGU PORI💪 (@mzungu_pori1) 's Twitter Profile Photo

Ni rahisi sana kuwa na internet ya uhakika wakati wote ili kufanikisha mambo yako ukiwa na airtel 5G Router ambayo inakupa internet popote unapoenda kwakuwa ni movable na ina power bank inayodumu na chaji zaidi ya masaa 8 Kamilisha majukumu yako popote ulipo na muda wowote

Ni rahisi sana kuwa na internet ya uhakika wakati wote ili kufanikisha mambo yako ukiwa na airtel 5G Router ambayo inakupa internet popote unapoenda kwakuwa ni movable na ina power bank inayodumu na chaji zaidi ya masaa 8

Kamilisha majukumu yako popote ulipo na muda wowote
King Maokoto (@kingmaokoto_) 's Twitter Profile Photo

FREE ODDS ZA KULISHA MITAA Kampuni:👉 SPORTYBET ODDS:👉 2.14✅️ CODES: 👉 46E81F 🙏🏾Tupige dua tu win ili tukuze Mitaji Wanaohitaji Kujiunga na Group lamgu La Whatsapp link ipo kwenye Bio👆 Mitaa Ishibe👊🏾🤴🏾

FREE ODDS ZA KULISHA MITAA 

Kampuni:👉 SPORTYBET 

ODDS:👉 2.14✅️

CODES: 👉 46E81F

🙏🏾Tupige dua tu win ili tukuze Mitaji

Wanaohitaji Kujiunga na Group lamgu La Whatsapp link ipo kwenye Bio👆

Mitaa Ishibe👊🏾🤴🏾
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Taarifa kwa Umma au Usumbufu ? Kila nikijaribu kusoma ni Taarifa isiyo kamili na inayokosa uweledi wa kitaaluma. Kuna haja ya Rais wa JMT kuchukua hatua za haraka dhidi ya uongozi wa Jeshi hili. Haliwajibiki kabisa. Na nitaasisi inayo ongoza kwa kukera umma.

Taarifa kwa Umma au Usumbufu ? Kila nikijaribu kusoma  ni Taarifa isiyo kamili na inayokosa uweledi wa kitaaluma.
Kuna haja ya Rais wa JMT kuchukua hatua za haraka dhidi ya uongozi wa Jeshi hili. Haliwajibiki kabisa. Na nitaasisi inayo ongoza kwa kukera umma.
Tanzania Abroad TV (@abroadtanzania) 's Twitter Profile Photo

Nyie kuweni makin kuteka na kuuwawa kumerudi kwa kasi mnooo mnooo yaan mnooo! Kuna wanaoshangiliaga wenzao wakitekwa Ila zamu yao itafika, Unaweza usitekwe wewe ila akatekwa mama yako au Baba yako! Na Vodacom wanashirikiana na baadhi ya Mabenk kutoa taarifa kadhaa za wateja na

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Nimepita ukurasa wa Ali Kibao, hakuna post yoyote akimsemea mtanzania yeyote aliyetekwa na kupotea. Lakini katika video hii anatoa wito kwa wote tupaze sauti kwa utekaji baada ya Mzee wake #AliMohammedKibao kutekwa jana. Kuna jambo la kujifunza hapa. Hadi ufikiwe! #ZuiaUtekaji

Iam Salum Ally (@iamsalumally) 's Twitter Profile Photo

RETWEET Oyaa..!! Wazee Wa Ma geme Chuma hiki hapa 👇🏽 Wireless Controller 🎮✅ Padi ya kuchezea Gem za Simu ✅ Inakaa na chaji kwa muda mrefu ✅ Bei ni 50k Namba za simu 0763300797 Full Video kwenye comment

RETWEET

Oyaa..!! Wazee Wa Ma geme Chuma hiki hapa 👇🏽 

Wireless Controller 🎮✅
Padi ya kuchezea Gem za Simu ✅
Inakaa na chaji kwa muda mrefu ✅

Bei ni 50k
Namba za simu 0763300797

Full Video kwenye comment
MZUNGU PORI💪 (@mzungu_pori1) 's Twitter Profile Photo

Wachawi tupunguzieni adhabu na sisi tunataka maisha mazuri muwe na huruma...🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️