OR-TAMISEMI (@or_tamisemi) 's Twitter Profile
OR-TAMISEMI

@or_tamisemi

Akaunti hii inatoa habari/taarifa mbalimbali za Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).

ID: 1085829995723919360

linkhttp://www.tamisemi.go.tz calendar_today17-01-2019 09:23:39

2,2K Tweet

41,41K Followers

118 Following

OR-TAMISEMI (@or_tamisemi) 's Twitter Profile Photo

Waziri Ummy ametaja vipaombele vya Ofisi ya Rais-TAMISEMI kuhakikisha wanaboresha huduma za afya ya msingi, elimu msingi na Sekondari, kuboresha na kuimarisha miundombinu ya barabara, kuwawezesha wananchi kiuchumi na uendelezaji miji na vijiji

Mhe. Waziri Ummy mwalimu leo tarehe amefanya kikao cha ndani na watumishi wa Idara ya Afya, Ustawi wa jamii na Lishe na Idara ya Elimu za Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa lengo la kujadili utekelezaji wa bajeti ya 2020/2021 na kuweka mikakati ya utekelezaji wa bajeti ya 2021/2022

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameiagiza Taasisi ya TARURA, Kufanya Uchambuzi wa Data Mbali mbali, ikiwepo Idadi ya Makalavati nchi nzima, Idadi ya Barabara za Lami, Changarawe na Vumbi kwa mchanganuo.

Mheshimiwa Waziri ameiagiza kuwa Halmashauri ambazo wanamapato yanayofikia Bil. 5, waweze kutenga fedha za ujenzi wa Lami za Halmashauri km.1. kila Mwaka.

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

“Agizo la kuwapanga Wamachinga halitakiwi kuwaumiza, kama kuna Mmachinga yeyote anayeombwa rushwa ndio apewe eneo la biashara ni kinyume cha sheria, atupigie TAKUKURU simu ya bure 113, usikubali kutoa pesa" ———Christopher Myava, Kamanda wa TAKUKURU Ilala. #MillardAyoUPDATES

Msemaji Mkuu wa Serikali (@tzmsemajimkuu) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza Jijini Kampala katika mkutano wa biashara wa Sekta Binafsi uliowahusisha watendaji wakuu wa Sekta hiyo kutoka Tanzania na Uganda Mei 10, 2022.

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

Chuo kikuu cha Ibadan nchini Nigeria, kimeonyesha utayari wa kushirikiana na vyuo vya Tanzania katika kufundisha Kiswahili. Dhamira hiyo imebainishwa wakati wa ziara ya Mhe Balozi Benson Alfred Bana chuoni hapo, tarehe 10 Mei 2022. #CloudsDigitalUpdates

Chuo kikuu cha Ibadan nchini Nigeria, kimeonyesha utayari wa kushirikiana na vyuo vya Tanzania katika kufundisha Kiswahili.

Dhamira hiyo imebainishwa wakati wa ziara ya Mhe Balozi Benson Alfred Bana chuoni hapo, tarehe 10 Mei 2022.

#CloudsDigitalUpdates
Msemaji Mkuu wa Serikali (@tzmsemajimkuu) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini Uganda Jijini Kampala, baada ya kumalizika mkutano wa biashara uliowahusisha watendaji wakuu wa Sekta Binafsi kutoka Tanzania na Uganda tarehe 10 Mei, 2022 .

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

I wish a prayerful and peaceful Lent to all Christians. As you mark the beginning of this season with Ash Wednesday today, may it be a reminder of our mortality, penance and the loving mercy of God. Let’s continue praying for our country, for peace and for a just world for all.

Tanzania Investment Centre (@investtanzania) 's Twitter Profile Photo

"Groundbreaking Automotive Milestone: As President Samia launches Tanzania's Howo Truck Assembly Plant" Tanzania has unveiled its inaugural Howo truck assembly plant in Dar es Salaam, representing a major milestone in the nation's expanding automotive industry. The facility,

"Groundbreaking Automotive Milestone: As President Samia launches Tanzania's Howo Truck Assembly Plant"

Tanzania has unveiled its inaugural Howo truck assembly plant in Dar es Salaam, representing a major milestone in the nation's expanding automotive industry. The facility,