Radio Citizen
@RadioCitizenFM
The Home of Kenya's most Popular Radio Personalities, Reliable News/Information and wholesome Entertainment. #RadioNumberOne #ChemChemiYaUkweli
ID:632859279
https://linktr.ee/radiocitizenfm 11-07-2012 10:24:46
618,4K Tweets
617,9K Followers
355 Following
Follow People
World Malaria Day
Malaria Kills! Watu 10,000 huaga kila mwaka kutokana na ugonjwa wa Malaria. - Dr. Dave Ojijo
#JamboKenya
World Malaria Day
Mikakati iliyowekwa kukabiliana na ugonjwa wa Malaria. - Dr. Dave Ojijo
#JamboKenya
World Malaria Day
Je, Kenya imepiga hatua katika vita dhidi ya ugonjwa wa malaria?
#JamboKenya
Dr. Dave Ojijo: Kuna uhusiano mkubwa kati ya mazingira yetu na magonjwa tunayougua.
#JamboKenya
Uchambuzi wa magazeti
> Imegonga mwamba! Mazungumzo kati ya Serikali na madaktari.
> Sheria kali kuwaadhibu wenye kuwadhulumu watoto kingono.
#JamboKenya / MelodySinzore1
Uchambuzi wa magazeti
> Azimio yataka vikao vya hadhara kuhusu ajali ya ndege.
> Mafuriko yazidi kutatiza maelfu ya wakenya
MelodySinzore1 / #JamboKenya
Demu awaka kupata picha za mume akila bata na manyanga katika ufuo. π
#JamboKenya / MelodySinzore1
Changamoto ya leo: Baba yetu uliye binguni. Kwa nini tunamuita Mwenyezi Mungu Baba?
#Pambazuka / Jeridah Andayi
Magazeti... 24th April 2024
Listen Online: radiocitizen.co.ke
Taifa Leo: Ogolla: Azimio Yakaba Serikali
Daily Nation: Azimio demands Ogolla inquest.
The Standard: Doctors' deal breaker.
#JamboKenya / MelodySinzore1
Chelsea hoyeeeee !! Pande La Raia ashadunda ndani ya studio kukupatia burudani murwa usiku kucha ndani ya #CitizenExpress Mkalla Mwambodze
Taja shabiki sugu wa porojo wa chini ya maji unayejua, lakini ambaye hana namna ya kutuma ujumbe kwa redio.... #GoodEveningKenya
Mibibi na mijizee, karibuni ndani ya #GoodEveningKenya ukiwa nami Kamau Munyua. Je, unapokea burudani ukiwa maneno yapi?
#GoodEveningKenya
#RadioNumberOne