Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profileg
Radio Jambo

@RadioJamboKenya

Ongea usikike! 🇰🇪 97.5 NRB | 92.3 MSA | 100.1 KSM | 96.9 NKR | 99.5 ELD | 99.3 NYERI | 92.7 MERU | 95.3 WEBUYE | 89.3 KISII | 104.9 KITUI | 105.7 VOI | 📻

ID:2515401066

linkhttps://radiojambo.co.ke calendar_today22-05-2014 13:13:01

437,3K Tweets

245,5K Followers

311 Following

Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Serikali pia inatarajia kuongeza mapato yanayotokana na huduma zake ambayo hukusanywa kwenye mfumo wa kidijitali wa eCitizen hadi wastani wa Ksh 1 bilioni katika kipindi hicho hicho. radiojambo.co.ke/habari/yanayoj…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Wakati Mfalme alikwepa kuzungumzia maelezo ya kesi hiyo, alishughulikia uvumi wa mtafaruku kati yake na Ballo

radiojambo.co.ke/burudani/2024-…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Bobrisky, mwanamume aliyebadili jinsia na kuwa mwanamke kupitia msururu wa sajari alifungwa miezi 6 baada ya video kumuonesha akirusha noti za Naira juu klabuni kwa mashabiki wake huku akirarua zingine.
radiojambo.co.ke/burudani/masta…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Hivi majuzi alizungumzia maisha yake mwenyewe kupitia mitandao ya kijamii, akizima madai ya kuwa mgonjwa.
radiojambo.co.ke/burudani/masta…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya jiji la Kampala, KCCA inapanga kung'oa korodani za mbwa wapatao 8,000 kama njia moja ya kuzuia kuenezwa kwa ugonjwa wa ‘rabies’ unaotokana na kuumwa na mbwa. radiojambo.co.ke/habari/kimatai…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Mahojiano yake yaliwekwa wazi saa chache baada ya timu yake ya Atalanta kuinyuka Liverpool - timu ya zamani ya Mane - mabao 3-0 nyumbani Anfield katika michuano ya Uropa.
radiojambo.co.ke/michezo/footba…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

“Mkuu wa Utumishi wa Umma amechukua hatua katika kutii maagizo na hivyo lazima kila mtu mwingine
radiojambo.co.ke/habari/yanayoj…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

DP amekuwa uso wa vita vya serikali dhidi ya uuzaji wa pombe haramu na dawa za kulevya kote nchini. radiojambo.co.ke/habari/taarifa…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Kutana na DAN WEMA , mhubiri anayesaidia watu katika jamii. Anasema azma yake ya kusaidia ilitokana na maisha aliyolelewa.

Massawe Japanni

instagram.com/reel/C5qTZBIoP…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Alisema Tugi ni jina la mwanawe lakini pia akaeleza kuhusu ‘Kabati’ – neno lililoonekana katika upande wa mbele. radiojambo.co.ke/burudani/masta…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Alijitenga na shughuli za kibiashara na zabuni za serikali akisema, 'Sifanyi biashara. Siombi zabuni za serikali. Sina maslahi yoyote yanayokinzana na mwajiri yeyote'. radiojambo.co.ke/habari/makala/…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

TID aliwahi kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja mnamo 2008, alitumikia kifungo cha miezi minne jela kisha akaachiliwa. radiojambo.co.ke/habari/grafiki…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Diamond alisema sababu iliyomfanya kuhangaika kuirudisha kofia ile ni kwa sababu ilikuwa ya kipekee ambayo aliipata kibahati. radiojambo.co.ke/burudani/masta…

account_circle
Radio Jambo(@RadioJamboKenya) 's Twitter Profile Photo

Miongoni mwa watu waliovutiwa ni sosholaiti Amber Ray, ambaye aliuliza kwa uchezaji siri ya Pierra kudumisha mng'ao kama huo wa ujana ni gani. radiojambo.co.ke/burudani/2024-…

account_circle