BiDi๐Ÿค(@Raphaeligp) 's Twitter Profileg
BiDi๐Ÿค

@Raphaeligp

Juu๐ŸŒ chini๐Ÿ™ƒ

ID:1480775324199796737

calendar_today11-01-2022 05:36:09

213,8K Tweets

9,4K Followers

2,3K Following

Follow People
BiDi๐Ÿค(@Raphaeligp) 's Twitter Profile Photo

Kuna ile hatua unafika wewe na huyo mepenzi wako mpya unamuomba mchezo anakukubalia alafu ikifika time yenyewe hakosi sababu au hapatikani.

Mtu wangu achana na hilo eneo siyo lako.

account_circle
DREAM CHASER(@Dream99chaser) 's Twitter Profile Photo

Fanya kila kitu kwa kiasi chake

1. Ukiongea sana, utadanganya.

2. Ikiwa unajali sana, utachukuliwa kuwa wa kawaida.

3. Ukiamini sana, utasalitiwa.

4.Ukitumia sana, hutakuwa na future.

5. Ukitarajia mengi sana, utakatishwa tamaa.

account_circle
J7๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ต(@johaness_kyai) 's Twitter Profile Photo

Ukifanikiwa uta sikia wana sema jamaa alikuw hana fanya kaz sehemu hakaiba kiasi kadhaa ndo maan ame fanikiwa๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ binadamu bhn ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

account_circle